Rosa Ree Afunguka Kuachana na Lebo ya The Industry...Atoa Nyimbo Mpya

Udakuz

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
85
Reaction score
51
Rapper huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Dow’ amesema mkataba wake na label hiyo ulimalizika na hakuongeza tena, hivyo hivi sasa anaendelea na watu waliokuwa akifanya nao kazi toka awali.




Download Wimbo wake Mpya HAPA
 

Attachments

  • IMG_2398.JPG
    60.8 KB · Views: 65
Duuh kasepa 'the industry'...haya kazi njema huko aendapo
 
Angeendelea kuiva hapo ila nahreel ni mzur production kwenye management siyo kivile
 
Kuna tatizo gani hapo the industry?
Nadhani kumanage wasanii siyo jambo rahisi na najiuliza je uwekezaji alioufanya kwa rosa ree umerudi?
Ila nahreal nadhan angeachana na kumiliki wasanii astick kwenye kuwa producer na kuwa mwimbaji yeye na demu wake.
Akiongeza kuwa na wasanii na kuwamanage ata loose kimoja kati ya kuwa producer mzur ama mwimbaji.
Baada ya ngoma ya kamatia chini, hawakatoa goma kali lililopata mapokezi kama yale ya kamatia chini.
 
Naunga mkonyo hoja. Pia mimi swali la kwanza kujiuliza ni je pesa waliyoinvest kwa Rosalee imerudi ama wamepigwa hasara, maana demu mwenyewe hata shows hana
 
Eti naskia Aika ana wivu sana. Anaogopa Nahreal watashea ndo maana [HASHTAG]#Rosaree[/HASHTAG] anasepa... Akina Chinbess, selline, wildad, rosa ree wametoka... Nataniiia bhn...
 
Eti naskia Aika ana wivu sana. Anaogopa Nahreal watashea ndo maana [HASHTAG]#Rosaree[/HASHTAG] anasepa... Akina Chinbess, selline, wildad, rosa ree wametoka... Nataniiia bhn...
Anahofia bure tu demu mwenyewe flatscreen nani ashoboke
 
Rosa Ree Afunguka Kuachana na Lebo ya The Industry...Atoa Nyimbo Mpya.
Hivi ni kipi Kiswahili sahili, Atoa nyimbo mpya au Atoa wimbo mpya?
 
Katoa nyimbo mpya ngapi?
Au ametoa wimbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…