Elections 2010 Rose Kamili agoma kusaini matokeo:Mwananchi online

Elections 2010 Rose Kamili agoma kusaini matokeo:Mwananchi online

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2008
Posts
2,268
Reaction score
335
Rose Kamili agoma kusaini matokeo
Tuesday, 02 November 2010 19:36 0diggsdigg

Mussa Juma, Karatu

MGOMBEA wa ubunge jimbo wa Chadema, katika jimbo la Hanang, Rose Kamili ambaye ni mke wa zamani wa mgombea wa Urais wa Chadema, Dk Wilbroad Slaa, amegoma kusaini makutokeo ya ubunge katika jimbo hilo, akilalamikia kitendo cha mawakala wake 49 kuzuiwa kuingia vituoni.

Source Mwananchi
 
Back
Top Bottom