Pre GE2025 Rose Mayemba ajitosa kuwania Ujumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, nitampigia kampeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe, Rose Mayemba amejitokeza kugombea nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ya Chama.
Hakuna asiyefahamu uwezo wa Dada huyu kwenye uongozi, na inashangaza kwanini hadi leo hakuwa Mjumbe wa Kamati Kuu.

Namtakia Kila la heri.

Labda kwa faida ya WanaJF na wengine kote Duniani, ni kwamba Kamati Kuu ya CHADEMA ndio nguzo kuu ya Chama, hapa ndipo ulipo msingi wa Maamuzi ya Chama, Wajumbe wa Kamati Kuu ndio wanaobeba Uhai wa Chama, Hii siyo nafasi ndogo.
 
Mbona kama unajipigia debe
 
Tunaenda na Lissu! Uchawa bye bye!
 
Acheni mfumo dume kuna wanawake wanafanya vizuri sn mjumbe hana maamuzi yoyote ndiyo maana Mbowe hataki ambakie kuwa mjumbe pamoja na kwamba watu hawamtaki huku mtaani. Tuwe wakweli
Sijakuelewa, maana yeye ndio kachukua fomu kuomba ujumbe wa kamati kuu, sasa hapa mfumo dume uko wapi?
 
Rose Mayemba ni mtulivu si mropokaji kama yule ndugu yetu rafiki wa ROBERT AMSTERDAM.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…