Rose Mayemba aomba tena Uenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Njombe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426

Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe anayemaliza muda wake , Kamanda kabisa Rose Mayemba , ambaye ametajwa kuinyoosha ccm katika uongozi wake Mkoani humo , huku akiisambaza Chadema hadi kwenye maeneo ambayo awali yaliamini kwamba CCM ni dini , ameomba tena nafasi ya uenyekiti wa Chadema Mkoani humo


Huyu mama ndio aliyewaambia watu wa Nyasa waliodanganywa kwamba CCM ni dini kwamba , Dini haiwezi kuwasababishia umasikini wa kutupwa walionao , hapo ndipo watu wa ludewa wakaanza kufunguka na kujiunga na CHDEMA. Hebu jaribu kutafakari hili , Binadamu kwa vile wako gizani basi wanadanganywa kwamba ccm ni dini na kwamba wakihama, kule mbinguni watakutana na moto kama ule wataoukuta Watenda dhambi wengine!

Hata hivyo Mayemba alifutilia mbali uongo huu na kwa mafanikio huku akijaza ofisi za Chadema Ludewa bila huruma yoyote ile

Wamejaribu hata kumtisha na hata kumloga (Kumbuka hiyo mikoa) lakini wamechemsha na hakuwahi kutetereka, Hebu angalieni, Chama cha siasa kinapanga njama za kumloga kiongozi wa upinzania yaani .

Binafsi namtakia kila la heri.
 
Sasa unapigia chapuo uchaguzi wenu nyinyi kwa nyinyi?
Mnakwama wapiiii?
Uchaguzi ni wenu!
Wagombea ni wa kwenu pia!
Sasa unawasifia baadhi na kuwaacha wengine....
Wapi Demokrasia ya ndani ya chama hapo???
 
Sasa unapigia chapuo uchaguzi wenu nyinyi kwa nyinyi?
Mnakwama wapiiii?
Uchaguzi ni wenu!
Wagombea ni wa kwenu pia!
Sasa unawasifia baadhi na kuwaacha wengine....
Wapi Demokrasia ya ndani ya chama hapo???
Wengine wakichukua tutawaanika hapa hapa
 
Na Mbowe huenda sasa naye atapata mgombea mwenza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…