technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Dada mrembo huyu jamani Chadema wanataka kumharibu tuRose Mayemba ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe anahojiwa na RCO wa Mkoa huo kwa tuhuma nzito za kumkashifu Rais wa Tanzania kwa kutweet mambo ya Katiba mpya mtandaoni...
Kazi imeanza, kulikuwa na super dikteta huyu ni dikteta kamili
Ameshanogewa na madarakaKuhoji katiba na kumkashifu rais wapi na wapi ila wanachosahau CHADEMA rais alikuwa mwenyekiti mwenza wa bunbge la katiba lililovurunda
Lazima sababu itakuwepo.......Kakamatwa huyo dada yupo ndani bila sababu yeyote
Yale mambo ya kuwekwa korokoroni yameanza tena
😀 Hatachukua round mtamfanyaje nyie nyumbu?. Mama yuko in a right track sasa miruzi yenu ilianza kumpoteza maboya. Tena anatakiwa akaze zaidi na zaidi.Daah! Huyu mama namhurumia Sana. Kaingizwa chaka akaingia mzima mzima. Hatochukua round. Muda utaongea.
mliyatakaKakamatwa huyo dada yupo ndani bila sababu yeyote
Yale mambo ya kuwekwa korokoroni yameanza tena
Amekosa nini?