Sababu mnaijua wenyewe..mnapenda confrontational politics...na mama mnamlazimisha kwenda huko ....na ataendaKakamatwa huyo dada yupo ndani bila sababu yeyote
Yale mambo ya kuwekwa korokoroni yameanza tena
How old are you?aibu kubwa sana katika jamii kwa mwanamke kujifuza na kufanya uhuni, harakati zisizo za msingi kwa mwanamke ni uhuni.
Huyo Muyemba hayo makubwa anayaweza?Sioni tatizo kwenye hiyo tweet ya mdada, polisi ndio wanapenda kuleta sintofahamu kwenye mambo yasiyo na maana, tena bora huyo dada kasema Rais hawezi mambo makubwa akimaanisha anayaweza madogo, mimi kwangu hata hayo madogo hayawezi kwani teuzi anazofanya nyingi huzitengua hata kabla ya masaa 24 kupita.
Natumai polisi baada ya mahojiano yao na huyo dada watamuachia huru, muhimu wasimpachike kesi ya upngo kwa kuja kutuambia wamemkuta na Cocaine.
Hapo naona aya mbili tofauti
Endeleeni kupigana na "upepo".....Ameshanogewa na madaraka
Aliyehimili ni Ally Hassan Mwinyi peke yakeNimegundua kiti cha uraisi ni hot seat , 😀😀😀😀 ni kazi ngumu Zaid ya watu wanavyoifkria , mwingine huko Haiti wamemuwasha risasi ....Ila nafkri viongozi watembee na katiba , wakiona haijitoshelezi wanabadili iendane na matakwa , Ila kuendesha nchi Kwa mlengo unaoona ww unafaa aisee utaishia kupata taabu sana
Chadema wote ni hamnazo kuanzia viongozi wake mpaka washabiki wake eti hatochukua round kweli nyie siyo wazima vichwaniDaah! Huyu mama namhurumia Sana. Kaingizwa chaka akaingia mzima mzima. Hatochukua round. Muda utaongea.
Hawajawahi, wala kamwe hawatashindaMtashindwa mahakamani
Hakuiweza kabisa, aliwaua akina Daudi Mwangosi, aliwang'oa kucha na meno akina Ulimboka, akawatoa macho akina Kibanda, sanasana naweza kusema Mwinyi alikuwa vizuri zaidiKazi ya uRais aliiweza sn JK hawa wengine hawaiwezi hata kdg
mkuu umeongea point kubwa sana ila kwa kuwa hawa nima nyumbu hawatakuelewa.Unauunga mkono ujinga wa akina MBOWE halafu unaishia kulala rumande miezi kadhaa huku ukiwa na familia yenye CHANGAMOTO KUBWA ZA KIUCHUMI....
Mwenzao Mbowe ana mahoteli na MAJUMBA mpaka DUBAI NA LONDON....kamwe huwaoni WATOTO WAKE WAKIWA "FRONT" katika siasa.....
Ama kweli AKILI NI NYWELE.....
#MkanyeAkirudiAkiendaMwache
#KaziIendelee
Kuvurunda..?huo ni mtizamo wako,hawakuvurunda,imebaki hiyo rasimu hatua moja mbele,,kupigiwa kura na wananchi..Kuhoji katiba na kumkashifu rais wapi na wapi ila wanachosahau CHADEMA rais alikuwa mwenyekiti mwenza wa bunge la katiba lililovurunda
Bila shaka hii calculation imepigwa na Chief whipHawajawahi, wala kamwe hawatashinda
Hakuwa tena Rais dhaifu ??Kazi ya uRais aliiweza sn JK hawa wengine hawaiwezi hata kdg
🤣🤣Hakuwa tena Rais dhaifu ??
Kazi ya uRais aliiweza sn JK hawa wengine hawaiwezi hata kdg
Subiri uone. Ataenda zake soonChadema wote ni hamnazo kuanzia viongozi wake mpaka washabiki wake eti hatochukua round kweli nyie siyo wazima
Kipind hcho hakukuwa na technolojia kama sasa , na mbuzi walikuwa wengi ....sa hv toomuch reasoning Kwa kila kitu kiongozi anachokifanya and somehow exposure ni kubwa ...!!! Kinachowasaidia viongozi ni kuwa watanzania wengi hawajalelewa katika mazingira ya fujo, hata hvyo hyo neema hyo naona kama inaelekea ukingoniAliyehimili ni Ally Hassan Mwinyi peke yake