Rose Mayemba, Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe akamatwa na kuhojiwa na Jeshi la Polisi. Aachiwa kwa dhamana

Bodo tuko kwenye ile awamu
Yaani kushukuru Mungu kote huko kumbe hamna kitu
Mambo bado yaleyale ya mwendakwao
 
Mwenyekiti wa Bawacha mkoa wa Njombe mh Rose Mayemba ameachiwa kwa dhamana na kutakiwa kuripoti tena ofisini kwa RCO siku ya Jumatatu.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Naona yeye ameamua kupima kina cha maji kwa kutanguliza kichwa badala ya miguu. Vipi anasemaje.. kina kishaanza kuwa kirefu au bado size ya kati?
 
Wewe ndiyo hufai !! Kosa la huyo dada liko wapi ?! .

Police watamharibia mama CV muda usio mrefu
Mkuu, mimi binafsi toka siku ya kwanza sikuwahi kuamini kuwa mama will be any different from her predecessor kwa sababu yeye pia ni zao la uchaguzi wa 2020. In those 100 days of her presidency, she was giving just a palliative care, now we're all in for it. Let's wait for the worst
 
Hakuiweza kabisa, aliwaua akina Daudi Mwangosi, aliwang'oa kucha na meno akina Ulimboka, akawatoa macho akina Kibanda, sanasana naweza kusema Mwinyi alikuwa vizuri zaidi
Alikuwa na mapungufu yake lakini siyo kama hawa wawili
 
Du. Ila bado watu wanaweza wasilisha ujumbe mzito bila kuweka maneno yenye ukakasi.

Kwanini kuweka neno la kushusha hadhi kwa mtu unaetaka kufanya uamuzi mzito?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…