Pre GE2025 Rose Mhando amshukia Magige kumshambuli Mpina

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kana lips nzuri lakin
 
Ni Rose Muhando kweli huyu mwimbaji na msanii nguli na maarufu wa Gospel Music kaandika haya ili aanzishe malumbano na mwanasiasa uchwara Catherine Magige?

Au hii ni Akaunti ya mtu fulani katumia jina na picha ya Rose Muhando tu kama utambulisho?

Mimi siamini hata kidogo kuwa huyu ni RM. Something is wrong somewhere..!
 
Mwenye picha ya huyu kahaba iliyopigwa kwa nyuma tuone labda na yeye anayo makalio ya Mloganzila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…