Yote yawezekana kwa Mungu. Naamini kwa sababu Dada Rose Muhando kamkimbilia Mungu amesalimika. Maisha yake kipindi hiki na kijacho yatakuwa bora zaidi ya vipindi vyote vilivyopita! Hayo ni Maandiko yamesema hivyo. Wale wanombeza, walitaka amkimbilie nani?! Mungu anataka tumwendee jinsi tulivyo naye amesema hatatukana bali atatupokea muda wowote. Libarikiwe jina la Bwana