Rose Muhando amshukuru rais Uhuru, Wakenya na taifa la Kenya kwa usaidizi aliopata

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Huyu dada sijui kipi alfanyiwa kule Tanzania, maana kwa kweli alikua ameshushwa hadi sakafuni, ila Wakenya tulimpa hifadhi haswa kipindi alikua anaumwa na kumsaidia kwa kila hali.
Enzi zake alikua anaimba nyimbo zilizokua zinanikosha kweli, haswa ule wake wa 'nipe uvumilivu' ulisababisha wengi wetu tukatokwa machozi.

Ametoa kibao kinachomsifia rais Uhuru na kuwashukuru Wakenya na taifa la Kenya kwa kumsaidia kurejea upya.
Wakenya tuendelee na moyo huu huu, baraka zitazidi kumiminika kwenye taifa hili, watatushangaa wengi kwanini pamoja na ukame wote lakini tunanawiri.
Mama Muhando tumepokea shukrani zako na natumai rais alipo atafikishiwa na kukualika siku moja umtembelee.

Swali fikirishi kwa Watanzania, hivi mbona mkimuangusha mtu huwa mnambamiza na kumsakama kabisa asipate hata pakupumulia wala pakutokea.


Endeared Tanzanian gospel musician, Rose Muhando, poured her heart out to President Uhuru Kenyatta, heaping praise on the head of state and Kenya for their warm welcome and accepting her when she was at her weakest point.

The musician composed a song which was posted on YouTube by her friend and Kenyan gospel musician, Stephen Kasolo, on Tuesday, September 24.

"Thank you, Kenyatta and all the Kenyans for the love you showed me in Kenya during my sickness.

"Now am safe and ready to work for the Lord," Muhando wrote.




Stephen Kasolo with Rose Muhando appearing in a past music video. She prayed for President Uhuru Kenyatta and Kenya in her new song of gratitude for the hospitality she was given.



In the song, the veteran musician prays to God to open doors and make ways for President Kenyatta.

"Kenyatta. Let your hands and your house be blessed. Let the open heavens profess blessings to you," she sings.

She also asked Kenya to be protected forever and her borders be secured.

"You opened your arms wide and accepted me. Be blessed Kenya and all your current and future generations. I do not have anything worthy to repay you," the lyrics to her Swahili song read.

The gospel artist found shelter in Kenya throughout her ailment. She was residing at Kenyan gospel artist, Anastacia Mukabwa's, house.

This is her second song after featuring controversial gospel musician Ringtone Apoko in another song dubbed 'Walionicheka' (Those who mocked me).

In November 2018, she was urged by Tanzanians to go back home after she was prayed for by city pastor, James Ng'ang'a. The preacher allegedly cast out demons from her.




President Uhuru Kenyatta. Tanzanian musician Rose Muhando's latest song says a prayer for him and country in gratitude for the hospitality she received in Kenya during her ailment.


 
Madawa yale hayajawahi kumuacha mtu salama!
 
Reactions: TPo
Mnamuiga JPM sio! Sioni ajabu zaidi ya biashara maana Mhando yupo Kenya muziki wake anafanyia Muziki Kenya. Unlike Mhando anayefanya muziki Kenya, waliomuimba JPM wengi wanatoka West Africa na of recently DRC!
 
Madawa ya kulevya ayana muhamana Mr Nice. Bi Ross. Ray C. Walipatia Madawa huko Kenya. Na kutibiwa hukohuko
 
Napenda nyuzi ambazo hazina ujinga wa kuilinganisha Tanzania na Kenya ambazo ndizo zinatawala jukwaa hili kwa wingi...

Tuachane na tofauti zetu, tutazame kusaidiana na kufanya maendeleo
 
Wakenya wanastahili pongezi katika hili wamwomyesha utu sana, si rose tu waliemsapoti lakini pia tuliwaona wakimsapoti munalove, wakati akiwa na matatizo, watanzania tujifunze sio kutoa mipasho tu watu wakipitia magumu...
Hongereni Kenya, MK 254 umeniwahi nilikwambia nitaleta thread ya kuwapongeza kwa kujali utu japo maeneo mengine nyie manyang'au mnazingua sana.
 
jambo jema mbona ameonyesha moyo wa shukrani na huo ndio utamaduni wetu sisi wa tz
 
Huyu ni chizi anaomba doh[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mnamuiga JPM sio! Sioni ajabu zaidi ya biashara maana Mhando yupo Kenya muziki wake anafanyia Muziki Kenya. Unlike Mhando anayefanya muziki Kenya, waliomuimba JPM wengi wanatoka West Africa na of recently DRC!
Annoint kamsifia JPM ni mkenya na akidai tatizo baiskeli hana hakika kama itafika Tanzania
Harmonize kamsifia JPM ni Mtanzania na wimbo umetrend balaa
Prof. PLO Lumumba ndiye msomi wa kwanza kuiona na kutamka hadharani kuwa JPM mwenendo wake utaibadilisha Tanzania na East Africa
Africa Magharibi kuna mwanamziki nae kampa Shavu JPM
Diamond nae kaimba akiwa Airport T3 akimsifia JPM tena kabla ya Harmonize
Wako wengi mno....
 

Huu uzi unahusu Muhando kutoa shukrani kwa rais Uhuru na Wakenya kwa kumsaidia yeye binafsi, sio yale mapambio ya misifa ambayo huwakuna nyie.
Kuhusu mapambio na misifa kwa watawala tuliyazoea enzi za rais Moi, kipindi hicho ilikua inabidi rais asifiwe dah yaani kila kitu atajwe na kuimbiwa yeye na kama humtaji ipasavyo itakula kwako. Ni maisha ambayo naomba sana tusiwahi kuyarudia, ovyoo sana.
Siku hizi hapa Kenya hatumsifu rais, ila tunasifia utekelezwaji wa katiba mpya maana ndio nguzo yetu.
 
Rose gave us beautiful and encouraging music when it was her time, now that she is facing challenges why are we demonizing her, we appreciated her music, we should be there for her at a time of need, i remember she would come to our church and she would sing so passionately
 
Sasa madawa yakimharibu sio mnapiga chini kabisa, mnamnyanyua na kumsaidia, nakumbuka pia Mr. Nice naye hivyo hivyo...
Hawa watu hawana huruma na watu wao hata kidogo. Ndio maana pia hawana huruma na majirani zao. Pengine inachangiwa na hali ngumu ya maisha wanayoishi inayowafanya wawe wakatili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…