Rose Muhando atumia madawa ya kulevya

by chris mushendwa;
Wanamsingizia, nnamfahamu Siku nyingi kabla sijahamia marekani, tumeimba group tofauti kanisa la KKKT Mjimpya Morogoro kwa Miaka 3 , Ndio Wakati huo aliondoka nakutoa Album ya kwanza ya Mteule uwe Macho!!!Na ndio kwa mara ya kwanza TZ wakamfahamu Rose!!! Ninachoweza kujua Rose anatatizo la Pumu, ambalo umsumbua mara kwa mara na uhatarisha maisha yake, hivyo kama anadawa anatumia nikwajili ya kutuliza tatizo hilo!!! Ila maswala ya Unga ni mtindo ule ule wa maisha ya watz kutokana na wivu wa maisha ndio hushugurika sana kuwachafua wenzao!!!Matatizo ya Rose yameanza kuibuka baada ya kutofautiana na Msama , Msama hayuko kufanya huduma ya kumtumikia Mungu ila umafia akijificha katika dhuria la Gospel music, Msama ni mtu wa system na ni maji marefu kwa Rose!!! Muda mrefu Rose alishaonywa kuhusu Msama !!!!

Mkuu chris mushendwa hapo umenena ukweli mtupuuu, wengine naona majungu ya Msama na kundi lake la kiharamia...
 
Last edited by a moderator:

kwanini hamjamuoa..?
 
Last edited by a moderator:
Yale yale ya ray c,chid benz na qchilla hivi madawa na music vina mahusiano gani?mimi mpaka kichwa kinauma sasa!!!

Ukisikia mwanao ana kipaji cha music tu presha lazima ipande,au ndiyo mwisho wa wanadam huu?
 
Nasikia ana ngoma miaka mingi sana ndio maana aliokoka akabadili na dini sababu ya ngoma
 
Mkuu nkuwi unaposema msama ni system una maanisha nini au ni hivi tunavyoelewa mtaani huku ukisema jamaa ni system una maanisha ni mtu wa usalama wa taifa !! We una maanisha nini ??
 
Roho inakuumaje Mkuu? Hana mume yule.
Hakuna frustrations mbaya duniani kama kukosa love affection,,

kamuoe. She's in her early 40's.

umeona eeeh kuzeeka bila mume nako ni shida hata uwe strong vipi utahitaji kampan tu
 
dah stori ya rose kulewa pombe na unga nimepewa ma mcongo hizi mambo za msama nakataaaaaaaa, damn niliammiwa haya mambo miaka 2 iliyopita ...kha
 
Msama ni mtu wa systemna ni maji marefu kwa Rose!!! Muda mrefu Rose alishaonywa kuhusu Msama !!!![/QUOTE]

Mtu wa System unamaanisha UWT?

Huyu jamaa namjua tangu miaka ya 1990, wakati huo akiwa ana tabia ya ukibaka. Alikuwa akipita kwenye nyumba ya mtu akiona kitu haachi. Nakumbuka kuna siku alipanda kwenye Pagale juu akaanza kubomoa Linta kwa nondi ila hakufanikiwa. Baadae akaanza kujifanya fundi bomba nk. Baadae baba yake akamrudisha Musoma, Baba yake alikuwa Mgeshi na anapractice polygamism. Mama yake huyu jamaa alikuwa ndie mke wa kwanza.

Baadaye alivyorudi Dar akawa mpiga debe Kariakoo-Mwananyamala, Kariakoo-Mwenge. Baadae akawa dereva wa Daladala, baadaye akahamia kwenye teksi. Kipindi chote hichi akajifanya ameokoka. Baadae akaanzisha kampuni ya Udalalali hadi akaja kuwa muandaji wa Matamasha.

Jamaa ni muhangaikaji sana na anastahili pongezi.
 
Mwache atumie ameshaonja utam wa yesu sasa ngoja aonje utam wamadawa shauri yake nautam wa yesu atausahau

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Global publisher sawasawa na Clouds na Msama alikuwa dereva clouds. Jibu lake Rose kuna tamasha la hao watu aliwakatalia wakaamua wamtafutie sababu fullstop
 
Msama ni mtu wa systemna ni maji marefu kwa Rose!!! Muda mrefu Rose alishaonywa kuhusu Msama !!!!

Mtu wa System unamaanisha UWT?

Huyu jamaa namjua tangu miaka ya 1990, wakati huo akiwa ana tabia ya ukibaka. Alikuwa akipita kwenye nyumba ya mtu akiona kitu haachi. Nakumbuka kuna siku alipanda kwenye Pagale juu akaanza kubomoa Linta kwa nondi ila hakufanikiwa. Baadae akaanza kujifanya fundi bomba nk. Baadae baba yake akamrudisha Musoma, Baba yake alikuwa Mgeshi na anapractice polygamism. Mama yake huyu jamaa alikuwa ndie mke wa kwanza.

Baadaye alivyorudi Dar akawa mpiga debe Kariakoo-Mwananyamala, Kariakoo-Mwenge. Baadae akawa dereva wa Daladala, baadaye akahamia kwenye teksi. Kipindi chote hichi akajifanya ameokoka. Baadae akaanzisha kampuni ya Udalalali hadi akaja kuwa muandaji wa Matamasha.

Jamaa ni muhangaikaji sana na anastahili pongezi.[/QUOTE]

Kutoka ukonda hadi kuuza sembe kweli anastahili pongezi...
 
Global publisher sawasawa na Clouds na Msama alikuwa dereva clouds. Jibu lake Rose kuna tamasha la hao watu aliwakatalia wakaamua wamtafutie sababu fullstop

Mwenzio anateketea kwa unga wewe unaendelea kubisha tu!..any way bora nae aende tu. Kaondoka mchizi wetu ngwea sembuse huyo mkata mauno?
 
Mwache atumie ameshaonja utam wa yesu sasa ngoja aonje utam wamadawa shauri yake nautam wa yesu atausahau

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Kuna wimbo wake mmoja mama alikatika mauno balaa! Yaani alikua anabinuka mpaka chuppi inaonekana. Ukiwa dhaifu lazima udinde ukiangalie ile video. Dah unga noma sana!
 
Yale yale ya ray c,chid benz na qchilla hivi madawa na music vina mahusiano gani?mimi mpaka kichwa kinauma sasa!!!
I hate to say this but muziki ni ushetani... muziki ni ala na mashairi... unaweza kuimba mashairi mazuri tena ya kumsifu mungu lakini ukatumia ala za kishetani! Sema ndo hivyo tena, dunia ya leo ukisema utumie ala za kimungu mungu (kama zipo) basi na nyimbo yenyewe itakudodea na ujumbe kutofika ulikokusudia na ndio maana sishangai kuona Gospel Singers wanakosa namna bali kutumia ala hizo hizo ambazo labda zingetumiwa na akina Mr. Nice. Hapa ni kama ile simulizi ya punda afe lakini mzigo ufike... na-assume Gospel Singers wanaimba kwaa lengo moja kuu... kufikisha neno la mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…