ROSE MUHANDO ULIWAZA NINI KUTUNGA HUU WIMBO

Point tano zilizobaki sio nyingi sana... tunakuja watani kuweni makini
 
Juzi tuta la mchongo leo goli la offside, hapo hatuja zungumzia red cards karibia 10 kesho hatujui itakuwaje.

Ila nimekubali kuchukua ubingwa wa Tanzania bara kusajili peke yake haitoshi lazima uwe na kamati ya miamala na ndio maana wenzetu walikuwa wanatengenezewa viporo ili wavinunue vizuri.
 
MAKOLOKOLO wanabebwa hadi Aibu yaani [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…