ROSE MUHANDO ULIWAZA NINI KUTUNGA HUU WIMBO

Nafikiri makolo wamefurahia Sana ilo goli lakini pia wajue ni kama vile wanachochea moto na wanaamsha mapambano ya aina iyo kwa timu ya wananchi, mmeanza na yanga itamaliza ni marufuku shabiki au mwanachama wa simba kuja kubweka hapa endapo yanga pia itakuwa inafunga mabao ya aina iyo kuanzia sasa, na tutafunga zaidi mabao ya aina iyo kwa wingi kwakuwa mmebariki aijalishi tumefungia mkono, kiuno ata offside maana mapambano ndo yameanza rasmi
 
Rose muhando bado anataka kuolewa [emoji2]

Wakati anaanza kuimba ndio nilikuwa naingia secondary leo nimekuwa mtu mzima nakimbilia uzee wa makamo Rose muhando bado anataka kuoelewa[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…