Rose Ndauka afunguka kuongeza mtoto mwingine

Rose Ndauka afunguka kuongeza mtoto mwingine

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
x1nrF171.jpg

Rose Ndauka


MUIGIZAJI mwenye mikogo Bongo Muvi, Rose Ndauka amefunguka kuwa anatamani sana kuongeza mtoto mwingine kutokana na raha anayoipata kutoka kwa mtoto wake huyo wa kike aitwaye Naveen lakini bado hajapata wa kuongeza naye.

Akizungumza na Star Mix, Rose alisema kuwa, mtoto wake amekuwa akimpa faraja sana kila wakati hivyo kumpa hamu tena ya kuongeza mtoto mwingine ili azidishe furaha aliyonayo sasa. “Kwa kweli nisiwe muongo, natamani sana kuongeza mtoto mwingine maana nishaona ndiyo faraja yangu ila tatizo ni mwanaume wa kuzaa naye sijampata, hata hivyo Mungu ni mwema naamini atapatikana tu,” alisema Rose.


Muungwana
 
Kafungjlia geti angojee barua za mipunda vibamia mpaka vizambarau
 
Ila mbona inasemekana rose ana watoto wawili. Mmoja mkubwa tu wa kiume

Bongo movie bana
 
Back
Top Bottom