Rose Ndauka awatega watu kuchumbiwa

Rose Ndauka awatega watu kuchumbiwa

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
rose_ndauka.jpg

Rose Ndauka amewatega mashabiki wake kwa kutupia picha ya kidole chake chenye pete ya uchumba kwenye mtandao wa Instagram kuashiria kuwa amechumbiwa

“Kweli picha ni yangu, mimi ndiye nimeiweka, kuchumbiwa ni jambo la kheri lakini siwezi
kusema kama tayari au bado, muda ukifika nitawaambia.

Kidole cha Rose Ndauka kikiwa na pete ya uchumba

ROSEyuuuuuuuuuuuuu.jpg
 
View attachment 208406

Rose Ndauka amewatega mashabiki wake kwa kutupia picha ya kidole chake chenye pete ya uchumba kwenye mtandao wa Instagram kuashiria kuwa amechumbiwa

“Kweli picha ni yangu, mimi ndiye nimeiweka, kuchumbiwa ni jambo la kheri lakini siwezi
kusema kama tayari au bado, muda ukifika nitawaambia.

Kidole cha Rose Ndauka kikiwa na pete ya uchumba

View attachment 208411

Huyu demu namuelewaga sanaaa...akinipa sikatai
 
Hayo matangazo ndio huwa yanawaponza si muache watu wayaone wenyewe ! Mfyuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!:A S-coffee:
 
Back
Top Bottom