View attachment 208406
Rose Ndauka amewatega mashabiki wake kwa kutupia picha ya kidole chake chenye pete ya uchumba kwenye mtandao wa Instagram kuashiria kuwa amechumbiwa
Kweli picha ni yangu, mimi ndiye nimeiweka, kuchumbiwa ni jambo la kheri lakini siwezi
kusema kama tayari au bado, muda ukifika nitawaambia.
Kidole cha Rose Ndauka kikiwa na pete ya uchumba
View attachment 208411
Huyu demu namuelewaga sanaaa...akinipa sikatai