kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 516
- 905
Dunia imebadilika sasa hivi mambo hayo yakuomba # huku hayapo nenda insta kama unatumia mtafute insta direct ndo watu wanavyopata watoto wa geti kwa style hiyo ila utamuweza?em mwenye namba ya hutu dada anisaidie. nimejarib kuziba hisia zangu najidanganya nampenda rose ndauka mpaka nakufwaz wanasema age is just a number waungwana nisaidieni jinsi ya kumpata huyu dada nitoe dukuduku langu la siku nyingi asanteni
mkuu situmii insta kama vipi niombee insta ufanye kuniletea jfDunia imebadilika sasa hivi mambo hayo yakuomba # huku hayapo nenda insta kama unatumia mtafute insta direct ndo watu wanavyopata watoto wa geti kwa style hiyo ila utamuweza?
haina mbaya mkuuWatu tupo dodoma ngoja tutoke kwanza
em mwenye namba ya hutu dada anisaidie. nimejarib kuziba hisia zangu najidanganya nampenda rose ndauka mpaka nakufwaz wanasema age is just a number waungwana nisaidieni jinsi ya kumpata huyu dada nitoe dukuduku langu la siku nyingi asanteni
Ndauka anaonekana mtamu sana.
kwani anauza shingapi?Una hela?
em nimbie anapendelea maeneo gani nikaweke kambiMe nilimtafuna kipindi fulani hivi...ni mtamu sana aisee.
Mkuu mi nakuonea huruma tu meana Maliki alishindwa wewe utaweza kwelimkuu situmii insta kama vipi niombee insta ufanye kuniletea jf
Huyo rose ndo nani weken picha wengine hatumjui na anaustaa gan TZ?
Ndio nani huyo tena??