Rose Ndauka hatari sana

em mwenye namba ya hutu dada anisaidie. nimejarib kuziba hisia zangu najidanganya nampenda rose ndauka mpaka nakufwaz wanasema age is just a number waungwana nisaidieni jinsi ya kumpata huyu dada nitoe dukuduku langu la siku nyingi asanteni
Huku JF huwezi kumpata lakini
 
Sasa kama SURA yake tu ni TAMU na NZURI vile unadhani " mbunye " itakuwaje? Huyo DEMU anaonekana ni mtamu " kunako " hakuna mfano.
GENTA au na wewe ushamtafuna kipindi flani???
na mwandiko wako, mkuu unaandkia mkono gani??
 
ni mngoni? duh nilijua anatokea waja leo warudi leo haonekani ka mngoni
hivi Kumbe mnawachukulia poa sana Dada zangu wa Nyumba hii pomba hii?...kwa taarifa yako hata jokate nae ni wa "kuli kuli" pa mfaranyaki pale.

Phina mango nae wa "kuli kuli".

wapo mabinti wengi warembo/maarufu na wasomi ambao wazazi wao (baba au mama) wana asili ya ya ungonini. chezea vitukuu vya Nduna Songea Mbano nyinyi.

 
Ukibahatika kumpata Mwanamke wa kingoni, kama una mke lazima umteme keo! Coz mafundi sana kifup dada zangu wanajua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…