Rose ndauka: Sitazaa tena nje ya ndoa

Rose ndauka: Sitazaa tena nje ya ndoa

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
DIVA wa sinema za Kibongo, Rose Ndauka amefunguka kuwa alikosea kuzaa nje ya ndoa, na sasa hana mpango huo tena.
Rose alisema suala la ujauzito wakati mwingine linaweza kumjia mtu bila kupenda lakini kwa sasa atajitahidi kuona anazaa akiwa ndani ya ndoa.
Diva wa sinema za Kibongo, Rose Ndauka.
"Lolote linaweza kutokea lakini kiukweli kwa sasa nitakuwa makini kidogo na ninamuomba Mungu anisaidie mtoto wa pili nimzalie ndani ya ndoa," alisema Rose ambaye alizaa na Mbongo Fleva, Malick Bandawe kisha kumwagana.
Mwigizaji huyo kwa sasa ameandaa jarida lake ambalo litakuwa linatoka mtaani kila Jumatatu.
 
Litakuwa ni jarida la Osca Ndauka sema linatangazwa kama lake kwa ajili ya publicity
 
huyu dada ana watoto wawili mmoja wa kiume au mimba ilipotea na alizaa na daniel basila
 
Ah nimemuona Nyama choma ....alikua na Kajala , bambia saana !! Na namba nimechukua..... Nitawaambia kitakachotokea
 
Acha kuzini ndio dawa ya kutozaa nje ya ndoa
Muvi zimewashinda mnaenda kushindana nashigongo mtaweza kusaka umbea na kuongeza chumvi na kutunga uongo
 
Back
Top Bottom