Rose uu wapi?? am missing u!!

Ras

Senior Member
Joined
Mar 16, 2007
Posts
126
Reaction score
6
Jamani aliyemuona dada Rose1980 naomba ampe salaam zangu, nammiss sana:behindsofa:
 
Scan vizuri ID mpya za watu huenda kaja na ingine

Lakini kwa nini afanye hivi??? hanitendei haki kabisa, any way ntamuomba invisible anisaidie kwa hili, coz am missing her so much and am worried!
 
Kiukweli nimemkosa muda sasa,labda kabanwa atarudi tu
 
Jamani aliyemuona dada Rose1980 naomba ampe salaam zangu, nammiss sana:behindsofa:

Niko nae hanemuni....infakti tunakumbushia hanemuni yetu....
 
nlikuwa naye bar jana na badae ntakutana naye tena kwenye al-batar ya kumpongeza Dena.salamu zako zitafika
 
yupo, lakini busy kidogo!hata sasa nimetoka kuongea nae kwa phone!!!!
 
Kweli Rose anifanyie hivi!!! haiwezekani hii itakuwa Hujuma!!:embarrassed:
 
yupo, lakini busy kidogo!hata sasa nimetoka kuongea nae kwa phone!!!!

Rose ua langu zuri, Ua lenye thamani!
umekwenda mbali, umejificha sikuoni!
Ona sasa moyo wangu wakonda!!
maliza u-busy urudi moyo unenepe!
 
nlikuwa naye bar jana na badae ntakutana naye tena kwenye al-batar ya kumpongeza Dena.salamu zako zitafika

Masikini Rose wangu atakuwa kapona kweli huko???😛ray2:
 
amezipata anakusalimia sana.

Re: Rose uu wapi?? am missing u!!

Originally Posted by Ras

Jamani aliyemuona dada Rose1980 naomba ampe salaam zangu, nammiss sana:behindsofa:

"Originally Posted by Nyani Ngabu
Scan vizuri ID mpya za watu huenda kaja na ingine
Pengine ndiye huyu mkuu, ngoja niendelee fanya uchunguzi!!:confused2::confused2:
 
Kweli huyu dada kapotea/kapotezwa sana.

Hope ni mzima na hajachakachuliwa....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…