Rosemary kwa Kiswahili

Asante mkuu....lakini bado naona sijapata jibu hii kitu kwa kiswahili inaitwaje???
Una maswali ya usumbufu ...
Uswahilini haikuwepo ... sasa lingepatikanaje jina lake kwa kiswahili? Ni sawa na kusema Yesu kwa Kiswahili anaitaje .. sema anatamkwaje.
Back to topic..
Unahitaji jina, unahitaji mbegu zake au unahitaji majani yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…