Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ada ya shule rosmini ni sh
ngap? na wanayo combination ya ECA? kwa anayejua anifahamishe tafadhali.
nina mwanangu ana A ya Commerce na A ya B/keeping na anapenda sana hiyo
shule. naomba kuwasilisha
Yaleyaleee! Kiafrika-afrika. Sidhani kama ukiweka hapa taarifa za ada yao itakuwa muhali. Kwanini hatubadiliki jamani na kuwa wa wazi? Mambo ya kufichaficha hata bei ya bidhaa/huduma zetu hadi lini?Mimi ni mwl wa A'level, Physics and Mathematicshapa rosmini,tuwasiliane
ada ya shule rosmini ni sh ngap? na wanayo combination ya ECA? kwa anayejua anifahamishe tafadhali. nina mwanangu ana A ya Commerce na A ya B/keeping na anapenda sana hiyo shule. naomba kuwasilisha
Nitumie ada kwenye m-pesa, mm ndo headmaster. Ni pm nikupe namba na kiwango