Rosmin Secondary School Fees Structure

SENGATI

Senior Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
127
Reaction score
26
Ada ya shule rosmini ni sh ngap? na wanayo combination ya ECA? kwa anayejua anifahamishe tafadhali. nina mwanangu ana A ya Commerce na A ya B/keeping na anapenda sana hiyo shule.

Naomba kuwasilisha
 
ada ya shule rosmini ni sh
ngap? na wanayo combination ya ECA? kwa anayejua anifahamishe tafadhali.
nina mwanangu ana A ya Commerce na A ya B/keeping na anapenda sana hiyo
shule. naomba kuwasilisha

nasubiria kujuzwa wadau wa jf
 
Mkuu SENGATI kwanza hongera na pili kwa harakaharaka naona kama hii shule haina chaguo hilo (ECA); google hiyo shule utapata taarifa hizi kupitia blog yao;
The school provides education for students in both Ordinary, and Advanced Levels. In 'O' Level the bias is for Commercial and Science subjects.

For 'A' Level we offer the following combinations;

  • HKL - History, Kiswahili and English
  • HGL - History, Geography and English
  • HGK - History, Geography and Kiswahili
  • EGM - Economics, Geography and Maths
[h=6][/h]
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni mwl wa A'level, Physics and Mathematicshapa rosmini,tuwasiliane
 
Nitumie ada kwenye m-pesa, mm ndo headmaster. Ni pm nikupe namba na kiwango
 
nakushauri uende mwenyewe hapo shuleni ukaulizie au umtume mtu, kwa hapa kwetu bongo unaweza kukuta wanayo hiyo comb lakini bado hawaja_update taarifa zao kwenye web yao
 
Mimi ni mwl wa A'level, Physics and Mathematicshapa rosmini,tuwasiliane
Yaleyaleee! Kiafrika-afrika. Sidhani kama ukiweka hapa taarifa za ada yao itakuwa muhali. Kwanini hatubadiliki jamani na kuwa wa wazi? Mambo ya kufichaficha hata bei ya bidhaa/huduma zetu hadi lini?
 
Katika shule nyingi binafsi ada zipo juu sana kuliko maelezo ndio maana fee structure haziwekWi hadharani
Wazazi wanaenda kimyakimya wakimeza maumivu kama wanakeketwa vile. yote kwa sababu shule za umma bure aghali.
 
ada ya shule rosmini ni sh ngap? na wanayo combination ya ECA? kwa anayejua anifahamishe tafadhali. nina mwanangu ana A ya Commerce na A ya B/keeping na anapenda sana hiyo shule. naomba kuwasilisha

ni shule bomba mkuu, kwa mwaka wa masomo 2013/2014


Ada ya shule na chakula 935,000
Mengineyo wanaosoma Arts 530,000

Jumla muhula wa kwaza 1,465,000

Muhula wa pili 935,000

Jumla kuu kwa mwaka 2,400,000

Michango Mingineyo kwa wanaosoma Arts 530,000 kwa mwaka
 
kwa kiwango alicho faulu mwana na mchepuo anao taka kusoma nakushauri, mshauri mwanao asome marian...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…