Elections 2010 Rostam amvaa Dr. Slaa lakini utetezi wake wamweka pabaya


Mkuu hata mimi hapo ndio ninaposhangaa kazi ilikuwa rahisi kabisa wangechukua hiyo barua na kuipeleka police wa verify signature na vingine then wangewaamuru police wao watoe taarifa kuwa barua hiyo ni fake. sasa kuhangaika kote huku sijui kwa nini???
 

Gembe unatukosea heshima wasomaji wa maandishi yako. Ila nashukuru kwa kuwa pamoja nasi ukisisitiza "Mwizi msemeni", na tutamsema tu. Huo mkutano Jo'berg mbona yeye hajauongelea na wewe unaibuka nao hapa. Mwone daktari wako mapema maana kuwa na imaginary friends Jo'berg sio dalili nzuri ya afya ya akili.
 
'Let them be our guests' watasema mengi mwaka huu mwisho wa yote watasema nani alifanya nini na lini na ikawa vipi hahhhaha yetu macho na masikio. Hiyo inaitwa 'guilty conscience'
 
Hivi hawa jamaa walikuwa wapi wakati matokeo hayajatangazwa? Uhamiaji EXIT tu sio ushahidi kuna VISA, ENTRY, etc. Sio Dr. Slaa bali waikane hile barua ya Mkurugenzi wa UCHAKACHUAJI Mwanz KABWE (Sio ZITO)
 
Hata kama kajitetetea kwa maandishi haiingii akilini. Ila kama kwa mahojiano mimi ndo nitashangaa leo KUMBE ROSTAM ANAONGEA!!!! zaidi ya kujibu tuhuma za richmond kanisani alikotoa takrima kwenye kikundi cha kwaya sina uhakika kama huwa anaongea. MIMI NINACHOJUA JAMAA KUONGEA HAJUI ILA WIZIII... ACHA BANA... ANAJUA MNO, TENA MNO. Maana katujambazia vya kutosha. hivi hamna mtu amkamate huyu jamaa alafu amsweke pale segerea japo kwa wiki moja watu wamkamatie mambo flani ndo ajue tuna uchunguuu!!! AMESHINDWA KUJIBU TUHUMA ZA MSINGI KWA MUDA WOTE LEO ANALETA ZA KUTUCHOKOZA!!! akyamungu Rostam we fanya tu, we bisha tu, kuna siku UBISHE USIBISHE ....
 

Ndiyo hivyo sasa alikutana nao hapo kwahiyo yuseme kuwa Rais wako ni mjinga. Mimi I wonder huu uongozi wa nchi umekuwa kama wa familia moja sasa au mbili na ya Makamba sasa. Picha ulitoiweka hapo kwenye ID familia yake haikuwa hivi kabisaa
 

HEY! HEBU TOA HIYO PICHA KWENYE AVATAR YAKO! Are your parents siblings?
 
Fisadi nini anashindwa kufanya hapa TZ? kama anaweza kuchakachua maoni ya wa TZ 10m, atashindwa kuchakachua passport kwa wa TZ 3 au 4 wanaohusika uhamiaji. Mwizi Tuuuuuuu
 

Kuna ushahidi wa kutosha ya kuwa watajwa hawa wote walikuwepo pale wenyewe na siyo kwa uwakilishi na hawana la kujitetea hapo..............
 
jamani mimi mtanisamehe kidogo kwasababu mambo ya rostam sitayajadili tena mimi na wa2 wa igunga tu.
 
All in all KUNA MWACCM ANAHUSIKA NA MCHEZO MCHAFU HAPA
 
Ukisema Raisi hawezi kuwa mjinga kiasi hicho GEMBE unakosea kabisa, na inaonyesha bado mchanga kwenye politics ya Tz, kwani kuna mambo mengi ya kipumbavu JK yeye kama yeye amefanya.
 

yaani wewe kwa akili zako unamuona JK ni raisi makini wa kuwaza umbali mrefu hivo..huyu si ndo alipewa hundi imeandikwa tofauti ..JK anaweza kufany ahata kikao pale T garden Bar sinza
 
Mbwa ni mbwa tu hata ukimvalisha suruale hatageuka kuwa binadam
 
Mkuu,

Tunasubiri tamko la Dr Slaa tu tufanye mambo yetu yale.
 
Wajinga ndiyo tuliwao. Nani anahakika kama ile mihuri iko kwenye pasi yake? Muhuri hugongwa ndani ya pasi na kumbukumbu za pasi ziko nyuma kabisa. Sikumbuki hata kama namba za pasipoti zinaonekana mahali mihuri imegongwa. Safari njema.
 
Kila jambo lina MWISHO wake, regime kama za kina Saadam na kina Tareq Azizi waliua wananchi kwa sumu 1982 na wakadhani wangetawala wao tu mpaka wafie madarakani. Hata RA, JK na wenzao wakae wakijua kuwa mabadiliko ni lazima, hata kama wana miaka 76 kama Tareq Aziz wa Iraq aliyehukumiwa kunyongwa tutawashitaki tu!

Watanzania wameamka!! kila siku wanabadilika 2015&2020 tutegee kuwa tutapata chama tofauti na CCM ya JK yenye mafisadi tupu na walinda maslahi binafsi. Hapo ndo patamu WATASHITAKIWA TU! tell them that they have to stay ALert!
 
Jamani...........MIMI NASHANGAA KITU KIMOJA............KILA MTU ANAYESEMEKANA ALIHUDHURIA HICHO KIKAO ANAKANA NA ANATOA DOUGHTFULL DATA KWAMBA ALIKUWA NJE YA NCHI........................................ HEBU NISAIDIENI HIKI KIKAO KILIFANYAIKA AU LAAAAA..........????
 

Rostam yuko sahihi kwa sababu aliondoka na ndege halafu akarudi na lile lori lilokuwa na karatasi za kupigia kura zenye alama ya vema kwa JK. Hiyo pass yake ina visa ya RSA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…