Elections 2010 Rostam amvaa Dr. Slaa lakini utetezi wake wamweka pabaya

siku hizi SA hatuhitaji VISA?

not only VISA labda siku hizi South ni kuingia na kutoka kama kariakoo, all you need ni passport yako kuwa na muhuri wa nchi utokako.
 
Hizi hoja tunamwomba Mheshimiwa Rostam Aziz azijibu........Afrika kusini viza na Tanzania kuondolewa bado hadi mwisho wa mwez i huu kama sikosei............
 

Nadhani Igunga ni Tabora kwa wanyamwezi...wasukuma huko Shinyanga na Mwanza wameshaishtukia sisiem na matunda yake ni idadi kubwa wa wabunge wa upinzani
 
Tanzania siku hizi inasahau Siasa- na kuanza Kuweka Sanaa katika Siasa- Na JF ndo imekuwa Kituo cha Spin!

I wonder it's difficult to separate Politics from Propaganda- what if the truth- we all dont know- but
politics is forcing us to accept what Spin Doctors specialize or make money out of it?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…