Fisadi Mtoto
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 639
- 79
Asante FM, tunapenda updates kama hizi. Kudos mkuu
Anatoa tahadhari hii yeye kama nani? Hicho ambacho hawatavumiliwa ni kitu gani? Kwa nini 'ugo,mvi' wake na Mengi anataka kuufanya kuwa ni wa wananchi wote wa Tabora? Amechanganyikiwa?aidha alitoa tahadhari kwa wabunge wa mkoa wa tabora wanaopenda kuongozana na Mengi kwenye ziara zake za mkoa wa tabora na kuwa kamwe hawatvumiliwa tena jambo ambalo lilishangiliwa kwa nguvu kubwa
Mkuu Masa, kuna tofauti ya saa nyingi sana kati ya jana na leo, na tabora kwa mtu kama RA mwenye ndege zake mwenyewe, anaweza kuwa Dar leo na akafika Tabora leo leoRA jana alikuwa mjini Dar mzee hii umetengeneza ama?!
nilipoleta taarifa kuwa kubenea kashindwa kesi mliniambai nimetunga lakini mlipokua ni kweli hamkuniomba msamaha.sasa now unasema hapa si kweli,huu ni ukweli na ndio ilivyo,magazeti mengi hayajapata nimeongea na msaki leo hajui.mimi nimesikia hutuba nzima na aziza mbunge wa viti maalumu alikuwepo akishangila japo huwa anazunguka na Mengi kumbe anamchora,na baskeli mia tatu alizogawa tabora kapewa na mengi kwa habari ambazo sijathibitishaRA jana alikuwa mjini Dar mzee hii umetengeneza ama?!
Anatoa tahadhari hii yeye kama nani? Hicho ambacho hawatavumiliwa ni kitu gani? Kwa nini 'ugo,mvi' wake na Mengi anataka kuufanya kuwa ni wa wananchi wote wa Tabora? Amechanganyikiwa?
Nadhani kinachotokea ni ujumbe kwa wana harakati. Mwananchi wa kawaida anachoangilia ni jinsi gani mahitaji yake ya kila siku (maji,chakula,malazi,mavazi,ada,matibabu,burudani etc.) yanavyoweza kupatikana. Iwapo kuna anayedhibitisha kuwapunguzi burden ya kuyapata mahitaji hayo, basi wao watamuunga mkono. Kinachotokea hapa na kilichotokea huko nyumba ni ujumbe kuwa maneno matupu ya kiharakati hayapeleki effect yoyote kwa mwananchi wa kawaida. Harakati zozote ni lazima ziambatane moja kwa moja na kuwawezesha watu kumeet their immediate needs.Na ndio maana wamishionari walikuwa wanagawa nguo, vyakula etc.
Wale ambao wamekuwa wakilaumiwa iwapo wanaprove kumpunguzia mwananchi wa kawaida burden, however miner it may seem, hutuzwa kwa vifijo vya aina kwa aina.
Ninachoona ni ujumbe ambao umekuwa ukitolewa kwa wanaharakati mara kwa mara, sasa ni juu ya wanaharakati jinsi watavyoamua kuupokea ujumbe huu. Wanaweza kuamua kuwalaumu wananchi wa kawaida au kupata fundisho na kufanya kilicho sahihi.
Huu ni ujumbe, na si kitu kingine.
Duh, kama ya Mh Chenge baada ya kutuhumiwa kuwa na vijisenti alikimbilia kwao BAriadi na kupokelewa na maelfu ya wapiga kura wake. Ni kama vile Lowasa baada ya kuvulwa Uwaziri Mkuu; alikimbilia kwao Monduli na kupokelewa na maelfu.
Ibra,
Ukifuatilia sana utakuta kuwa hawa jamaa (mafisadi= RA , Chenge, Lowasa) kutokana na mapesa waliyonayo huwa wana-organize watu wao katika hayo mapokezi. Hebu jiulize huko Bariadi, Monduli kuna watu wangapi wenye kumiliki magari mengi kiasi hicho? Ikumbukwe kuwa huko kote (Bariadi, Monduli) watu wakishaona misururu ya magari hukusanyika kwa wingi wengine bila hata ya kuwa na lengo maalum maadam tu wameona misururu ya magari, mimi natoka vijijini nina experience na hilo. Na ripoti tunayopewa ni kuwa amepokewa kishujaa. Nasema haya kwa sababu Lowasa kule Monduli mapokezi yake yaliratibiwa na somebody Nasari ambaye ana sikendo nyingi zikiwemo za ujambazi lakini ni swahiba wake Lowasa ndo maana hata kesi zake zimekuwa zikiishia hewani. Kwa kifupi mapokezi hayo yanayodaiwa kuwa ya nguvu huwa wanayaandaa wao wenyewe kwa pesa walizotuibia.
nilipoleta taarifa kuwa kubenea kashindwa kesi mliniambai nimetunga lakini mlipokua ni kweli hamkuniomba msamaha.sasa now unasema hapa si kweli,huu ni ukweli na ndio ilivyo,magazeti mengi hayajapata nimeongea na msaki leo hajui.mimi nimesikia hutuba nzima na aziza mbunge wa viti maalumu alikuwepo akishangila japo huwa anazunguka na Mengi kumbe anamchora,na baskeli mia tatu alizogawa tabora kapewa na mengi kwa habari ambazo sijathibitisha
well said ....naomba kibao cha Les MWENGE ...vijana wa CTU arusha ,dansi lao hata muungwana JK akiwa capt alikuwa akilicheza....
kibao- KILA MNDU AVE NA KWAO.
Waswahili wanasema mcheza kwao huunzwa.....hata wasipomtunza bado familia yake haiwezi kumtupa...,familia inaanzia nyumbani ,mtaa,kijiji,eneo,mkoa,kanda,taifa etc....kama unaishi vema na familia yako hata ukiwa katili namna gani ....watakutetea hadi damu ya mwishi,ndivo maisha yalivyo~~~! hii ni ishara kuwa rostam anaishi vema na familia yake ya wana tabora!.....if mengi want to convince tabora to turn him down will be a wrong war strategy....hasa pale inapokuwa tayari wapo kwenye total warfare....tayari kuna tension,ingekuwa tofauti zao hazijawa wazi.....ingekuwa mbinu yake ya kutumia kina seleeli etc..ingesaidia...kumpata mgombea wa kumuondoa rostam bila watu kustuka ......
pia lingine ni kuwa mzee mengi inaonekana anazidiwa ujanja na rostam hasa pale inapoonekana wazi kuwa rostam na wenzake wana wafuasi wanaomzunguka mengi.....cant you imagine mengi alijuwa kuwa mbunge aziza suleyman yuko upande wake na akampa baiskeli 300 na pesa ...na days after aziza huyo huyo anaongozana na rostam kwenye ziara........watu wanamlia mzee mengi pesa bila yeye kujijua...huku wenzake wanajiimarisha kibiashara na kimkakati!!