Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,269
- Thread starter
-
- #181
Mwaka gani huo alisoma Havard?kwanza yule ni akili nyingi sana sana tena.alafu shule babaa ile ni product ya Harvard University.mafyekeche mengi sana pale yamelala.
Nimesahau hili!! hao mashoga matajiri, sambamba na ma- CD wanafanya biashara hii! kamwe hawalipi kodi tangu zama, hili linafanikiwa kwa msaada wa kafara za ki- shetani!...nchi ita enda vepi bila pesa ya kulipa kodi??mashoga ndio matajili wakubwa dunia hii, wakati wacha Mungu ndio mafukara wa kutupwa.
Ni kweli na juzi kanunua shirika la ndege za coastal aviationAna hela ana hela halafu ana hela tena. Siyo mtu wa makando kando, siyo mtu wa madili japo ilitumika nguvu kubwa kumchafua.
Aziz ni akili kubwa sana, tayari ashanunua shirika lenye ndege nyingi zaidi TZ. Nani mwingine ana jeuri hiyo?
Jamaa ni smart sana, kimavazi na upstairs.
Vijana wa TZ tuna la kujifunza hapa.
Hana Cha usmart wowote amenufaika na ufisadi kipindi akiwa kwenye siasaAna hela ana hela halafu ana hela tena. Siyo mtu wa makando kando, siyo mtu wa madili japo ilitumika nguvu kubwa kumchafua.
Aziz ni akili kubwa sana, tayari ashanunua shirika lenye ndege nyingi zaidi TZ. Nani mwingine ana jeuri hiyo?
Jamaa ni smart sana, kimavazi na upstairs.
Vijana wa TZ tuna la kujifunza hapa.
Hio ndo point yangu ameiba sana kwenye siasa Hana usmart wowoteHahahahha, eti 100mil. bado umsamehe kwa kidogo alichojaaliwa. Sasa pesa za Dowans bilioni 900, asiwe na hela amerogwa?
Wewe tutusa bin zuzu, Coastal siyo Shirika, ni kampuni.Ni kweli na juzi kanunua shirika la ndege za coastal aviation
Nikufuatilie chizi bin khayawani? Labda nikufuatilie Milembe.Mcha Mungu naemjua!! anaemtegemea hawezi kuwa Maskini kamweeee!! kuna mungu wengi hao matajiri wa miungu wako ni matajiri kwa upande wenu!! kamwe usigenerlise na matajiri wa upande wa pili!
Shetani ana uwezo wa kukutajirisha maradufu lkn je unakili ya utambuzii?? wa kujua asili ya utajiri wako??... bila kusahau kuwa hata huyo Shetani ni mtoto wa Mungu!
Na kilichotoka kwa Mungu si cha mchezo!! mchezo!! bin mizaa kina uwezo wa kiungu!!yamkini pia unaweza kukiabudu ...... km si neema!........ km ni ivo!! je! kwanini muuza nyapu ya nyuma asiwe tajiri??
Ni kama hujui kitu vile!!! ila nitakusaidia bure ..... haya Matajiri Mashoga yalikuwepo, yapo, nayatakuwepo mpaka ukamlifu wa Dahari! no jipya!
hayajaanza leo! yalikuwepooo pamoja na wafuasi wake km weye ulivo! ni kuleee Sodoma na Gomora!! walichokipata athari zake zipo live mpaka leo/sasa hivi navoongea hapa!!
sasa je ni wapi huko??, ktk Dunia ya leo??! hili ni somo la siku nyengine endelea kunifuatiliya..... unasikia???
Kuniita chizi ni hoja dhaifu za kushindwa na hoja tunduizi! ndo vilaza weeengi walivyo,chunguza uone...... pale wanapoishiwa hoja! yamkini hata kutumia risasi km jiwe dhidi ya Lisu!! dhidi ya hoja yenye Mashiko! ndo mlivyo!Nikufuatilie chizi bin khayawani? Labda nikufuatilie Milembe.
Kwa kifupi hakunaga tajiri mzuri.Utajiri.. u will never know whats behind the scene mwana ni mpiga dili tu mwenye konektion za kimataifa... ni mafia kuliko unavyodhani...
Kwamba pesa haramu/chafu au?Hana Cha usmart wowote amenufaika na ufisadi kipindi akiwa kwenye siasa
SanaIla mwamba anani motivate sana. Anaonekana ni fighter kinoma.
Kwakweli hapa ndio uwa nashindwa kuelewa why [emoji849]Huna ulijuwalo unabwata tu, mashoga ndio matajili wakubwa dunia hii, wakati wacha Mungu ndio mafukara wa kutupwa.
PoaNilishajibu hilo kwenye comments za mwanzoni.
Hizo gesi zingekua zinatoka usingemtapeli malkia wa sheba. Aya sasa mpe mtoto wa watu pesa zakeBinafsi unani motivate kufika level hizo,unapokimbia usipojua umbali unaotakiwa kwenda
hautokusanya pumzi zako ipasavyo,haya maisha usipokua na mtu unaemuangalia kama
kioo chako,hautofika popote,maisha yetu watafutaji yanahitaji sana kuwaskia skia hawa
watu,kina Mo,Diamond na wengineo wengi wengi,Huwezi ona Faida ya utajiri wake kama
hauna lengo la kufika alipo yeye,unahisi mafanikio ya YANGA team ya SIMBA inajiskiaje?
Usajili bora wa SIMBA yanga unawafaidisha nini? Fine,unaweza sema natolea mifano isiyo relate na mada, ila ukweli ni kwamba
Tunahitaji (hasa mimi) nahitaji sana sana kujua utajiri wa vijana waliopo Tanzania ili nijue natakiwa kimbia au tembea.
Wengine tuna ma Future Plan ya kuwaeka BENCHI wote hao wanaoitwa mabilionea wa leo,lakini hatutoweza kama hutojua ni yupi unatakiwa umfukuzie.
ROSTAM ni nyoko na NUSU acha kabisa yule kiumbe. Halafu sasa ROSTAM ananinufaisha sana hili jamaa ndio boss la TAIFA/MIHAN GAS
Maisha yangu leo hii yanamtegemea sana ROSTAM akifunga tu kiwanda ya MIHAN/TAIFA GAS narudi kupambana na migambo ya jiji shubaaamit.
Kwa sasa ROSTAM ananiweka mjini asee,maana katika gas nauza zinatoka ni Mihan/taifa gas na zinatoka kwasababu jamaa ana bei ya chini sana kulinganisha na kina ORYX.
wazee ROSTAM nasema tena ni NYOKO robo tatu,apewe sifa zake haina choyo wala nini.
Unachekesha kwa lipi kwa mf.Kijana wa ruto huyu
Bila shaka wewe ni houseboy wakeAna hela ana hela halafu ana hela tena. Siyo mtu wa makando kando, siyo mtu wa madili japo ilitumika nguvu kubwa kumchafua.
Aziz ni akili kubwa sana, tayari ashanunua shirika lenye ndege nyingi zaidi TZ. Nani mwingine ana jeuri hiyo?
Jamaa ni smart sana, kimavazi na upstairs.
Vijana wa TZ tuna la kujifunza hapa.
Ngoja nimtafutaHalafu ana roho smart ukipambana ukapata connection nae suala la kukusaidia milliono 100 ni jambo la kawaida sana kwake tena anakwambia nisamehe kwa hichi kidogo nilichojaaliwa ndugu yangu