Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania Rostam Aziz, ainunua kampuni ya vyombo vya habari ya Kenya ya Nation Media Group yenye makao makuu yake jijini Nairobi nchini Kenya.
Rostam ameinunua kampuni hiyo baada ya makubaliano ya kimkataba na mmiliki wa awali ambao Taasisi ya Agha KaN.
Miongoni mwa vituo vya habari vinavyomilikiwa na Nation Media Group ni Gazeti la Daily Nation, The East African, Daily Monitor, Taifa Leo, Business Daily, Television ya NTV.
Lakini pia inamiliki vyombo vya habari vilivyopo TANZANIA na Uganda ikiwemo Magazeti ya Mwananchi na mwanaspoti Tanzania.
View attachment 3556136View attachment 3556137
Huyu 'jamaa' anamiliki media za Africa mashariki kwa Sasa.
Hii itatumika kama machine ya propaganda.Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania Rostam Aziz, ainunua kampuni ya vyombo vya habari ya Kenya ya Nation Media Group yenye makao makuu yake jijini Nairobi nchini Kenya.
Rostam ameinunua kampuni hiyo baada ya makubaliano ya kimkataba na mmiliki wa awali ambao Taasisi ya Agha KaN.
Miongoni mwa vituo vya habari vinavyomilikiwa na Nation Media Group ni Gazeti la Daily Nation, The East African, Daily Monitor, Taifa Leo, Business Daily, Television ya NTV.
Lakini pia inamiliki vyombo vya habari vilivyopo TANZANIA na Uganda ikiwemo Magazeti ya Mwananchi na mwanaspoti Tanzania.
View attachment 3556136View attachment 3556137View attachment 3556138
Amesigina Kila Eneo SasaPatakuwa na namna hapo kuelekea 2030
Wakati Babu zake wanadunduliza,Babu zako walikua wakikesha vilabuni,kuongeza wake na mahawaraJambaz Rostam
Anzisheni media zenu, Tanzania daima na mwanahalisi yameishia wapi?Hii itatumika kama machine ya propaganda.
Hakuna aliyezuiwa kuanzisha mediaCIA asset imenunua media ili iwe na monopoly wakitaka kumpigia chapuo kibaraka wao yeyote ukanda huu wanapitia hivyo vyombo.
Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania Rostam Aziz, ainunua kampuni ya vyombo vya habari ya Kenya ya Nation Media Group yenye makao makuu yake jijini Nairobi nchini Kenya.
Rostam ameinunua kampuni hiyo baada ya makubaliano ya kimkataba na mmiliki wa awali ambao Taasisi ya Agha KaN.
Miongoni mwa vituo vya habari vinavyomilikiwa na Nation Media Group ni Gazeti la Daily Nation, The East African, Daily Monitor, Taifa Leo, Business Daily, Television ya NTV.
Lakini pia inamiliki vyombo vya habari vilivyopo TANZANIA na Uganda ikiwemo Magazeti ya Mwananchi na mwanaspoti Tanzania.
View attachment 3556136View attachment 3556137View attachment 3556138
sio nchi jirani tu hata bongo kuna magazeti ya Nation media na kiwanda chake cha uchapaji. Usichokijua Rostam alikuwa mmiliki wa kampuni ya magazeti ya New Habari Media pale Sinza kijiweni ikichapa magazeti ya Mtanzania, Rai, Dimba na The African. Kwa hiyo Rostam kwenye biashara ya uchapishaji magazeti si mgeniNyie si mnapiga majungu hapa kila akiwekeza, ngoja akatoe ajira nchi jirani
hiyo kampuni imewekeza mpaka tanzania wewe, ndiyo wamiliki wa magazeti ya mwananchi na citizenyes ni kosa kubwa sana katika uchumi kutoa pesa ndani kuitoa nje. I hope hiyo kampuni ifanye operation zake Ndani na nje mwisho wa siku super profit irudi nchini
Watamjua vizuri, alilinua Mwananchi (with Kikwete behind the scenes) kwa kuwa lilikuwa gazeti lenye influence kubwa sana(back then) wakalitumia kisiasa, I remember yaliyomkuta Salim Ahmed Salim yaani lilimbagaza mpaka akajuta na akachukia siasa.Mfuko wa Maendeleo ya Kiuchumi wa Aga Khan S.A. (Aga Khan Fund for Economic Development – AKFED) umeingia makubaliano ya kuuza asilimia 100 ya hisa zake katika Nation Media Group (NMG) kwa Taarifa Ltd, kampuni inayomilikiwa na mfanyabiashara wa Tanzania Rostam Azizi.
Azizi ana uwekezaji mkubwa katika sekta mbalimbali ikiwemo vyombo vya habari, madini, mawasiliano ya simu, kilimo, majengo na ardhi, huduma za bandari, nishati na ujenzi.
Kupitia taarifa iliyotolewa Jumanne, AKFED imesema imefikia makubaliano ya kuuza hisa zake zote katika NPRT Holdings Africa Limited (NPRT) kwa Taarifa Ltd. Kampuni ya NPRT inamiliki asilimia 54.08 ya hisa katika Nation Media Group.
----
The Aga Khan Fund for Economic Development S.A. (AKFED) has entered into an agreement to sell its 100 percent shareholding in the Nation Media Group PLC (NMG) to Taarifa Ltd, a company owned by Tanzanian businessman Rostam Azizi.
Mr Azizi has vast business interests across multiple sectors, including media, mining, telecommunications, agriculture, real estate, port facilities, energy, and construction.
AKFED in a statement Tuesday announced that it had entered into an agreement to sell its entire shareholding in NPRT Holdings Africa Limited (NPRT) to Taarifa Ltd. NPRT holds a 54.08% shareholding in the Nation Media Group.
The transaction marks the conclusion of AKFED's 66-year association with NMG, which began in 1959.
“NMG is now poised to expand its impact through further investment in its digital transformation. Taarifa Ltd is committed to supporting this transition and accelerating NMG's digital growth, enabling the group to strengthen its connection with customers and build on its long-standing tradition of public interest journalism,” said Akfed and Taarifa Ltd in a joint statement.
The transaction is expected to conclude within three to four months, subject to obtaining regulatory approvals.
Taarifa Ltd has confirmed that it does not plan to buy out the remaining NMG shares or to delist on any of the other three securities exchange where it is cross-listed. NMG shares are listed on the Nairobi Securities Exchange as well as the Uganda Securities Exchange, the Dar es Salaam Stock Exchange and the Rwanda Securities Exchange.
His Highness the Aga Khan IV founded NMG with the vision of providing Kenya a free, independent press to help in promoting democratic society. It began as a modest Kiswahili-language newspaper called Taifa Leo.
Source: Tanzanian businessman Rostam Aziz buys Kenya's Nation Media Group