Rostam Aziz anunua kampuni ya Nation Media Group ya Kenya

yes ni kosa kubwa sana katika uchumi kutoa pesa ndani kuitoa nje. I hope hiyo kampuni ifanye operation zake Ndani na nje mwisho wa siku super profit irudi nchini
Bongo ndio wanamiliki gazeti la mwananchi, the citizen na mwanasport.
 
Bye bye Freedom of Press! Samia and his cronies are crossing the border. Poleni sana, uhuru wa habari ndiyo umekufa.
 

Amenunua Vs anamiliki 54% shares, Probably Rostan ni Ruto
 
Hizo pesa alizotumia ndiyo zile zinazoibwa kila siku kwenye serikali ya Tanzania. Samia amehusika hapo kwa asilimia 100. Hilo gazeti limenunuliwa kufifisha uhuru wa habari. Hayo majambazi yanamaliza nchi yetu.
 
Kupitia taarifa iliyotolewa Jumanne, AKFED imesema imefikia makubaliano ya kuuza hisa zake zote katika NPRT Holdings Africa Limited (NPRT) kwa Taarifa Ltd. Kampuni ya NPRT inamiliki asilimia 54.08 ya hisa katika Nation Media Group.
Sasa magazeti ya Mwananchi, the Citizen Tanzania ambayo ni mali ya Nation Media Group ya Kenya, kwisha habari yake.

Mwana mtandao, fisadi papa na chawa wa ccm, Rostam Aziz, hawezi kuacha gazeti lake liwe huru
 
Najuwa sana Mkuu LOTH HEMA ila ngoja tuwajuze hawa wana CHADEMA akina Tindo, Proved Mshana Jr, Kalamu, Yoda, Erythrocyte, Lord Denning, Carlos The Jackal, The Palm Beach maana kila wakiona uwekezaji wa Rostam wanapagawa wakidhani ni kodi ya Watanzania
 
Magic Fm na Channel Ten alizonyang'anywa na jiwe alizichukua lini kutoka CCM?
 
Sioni lolote la maana unaloniitia hapa. Unataka nijadili Roast Azziz ambaye hana msaada wowote katika ukombozi wa taifa hili toka mikononi mwa wahalifu?
Sana sana nitamjadili kwa nafasi yake katika uhalifu wanaofanyiwa waTanzania. Hilo liweke akilini, wakati wake siyo sasa.
 
Mzee anajipanga upya kutuletea mambo mengine🤣🤣🤣🤣🥰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…