Maswali yako hapa
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=RVzzo0CgK8Y&feature=related"]http://www.youtube.com/watch?v=RVzzo0CgK8Y&feature=related[/ame]
Je mheshimiwa Rostam baada ya kupewa ushahidi au vielelezo alivyodai je alijibu haya maswali rahisi kutoka kwa bwana Mengi?
Tujuzane majibu yalikuwa yepi?