ni ukweli usiofichika kwamba nipo online 24/7 na hiyo inatokana na mimi binfasi KUTOPENDA kusign out na kusign in kila mara, maana utakuta naingia JF kila mara ninapokuwa na chance ya mtandao, mara nyingi huwa natumia computer tofauti na vile vile naacha kusign out, ndio maana !
kwa kweli nadhani mkuu hasara, hujaelewa nini nilichosema !
mkuu mwanzilishi wa hii mada, alileta atiko inayoelezea watu wa karibu wa mzee mbeki kutaka kununua web fulani, na ndio hapo watu wakasema kwa nini ccm wasinunue jf, wengine wakajibu kwamba jf ni ya watz wote, which i totally agreed to that statement, na nikaja nikasema kwamba ccm haina haja ya kununua jf kwani hata kama wao wakitaka wanaweza kuwa nayo na ikavutia watu wengi hadi akina mbowe, na wenzake !
sasa hayo mambo ya kuniuliza kwa nini nipo hapa jf yanatokea wapi ?
sijatumwa na mtu yoyote kuja kuwa member hapa, walionivutia ni hao wakuu kabisa wa forum hii waliokuwa mahiri kuchanganua mambo ila pale tu nilipoona hatukubaliani i had to choose sides !
WANAJF NAOMBENI MKAE MKIJUA KWAMBA, SIFAHAMIANI NA KIONGOZI YOYOTE WA CCM WALA UPINZANI NA HIVYO SIJATUMWA NA YOYOTE ! SIJUANI NAO KABISA HAO WAKUU, NA WALA SIJAWAHI KUWAONA, HUWA NAWAONA KWENYE KIDEO AU KWENYE MAGAZETI NA SAA NYINGINE HAPA JF TU ! SINA UHUSIANO NAO KABISA ! (AM I TELLING THE TRUTH ????)