Elections 2010 Rostam Azizi/Basili Mramba!

Elections 2010 Rostam Azizi/Basili Mramba!

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,619
Reaction score
4,299
Jamani wana JF kuna habari kuwa eti wale vigogo wawili Rostam Aziz na Basili Mramba wameshwindwa kufurukuta kwenye majimbo yao hizi habari jamani ni kweli??
 
Jamani wana JF kuna habari kuwa eti wale vigogo wawili Rostam Aziz na Basili Mramba wameshwindwa kufurukuta kwenye majimbo yao hizi habari jamani ni kweli??

Mramba imeshafahamika lakini huyo muIran bado sijapata taarifa rasmi ikiwa wananchi watamtosha litakuwa jambo la maana sana.
 
RA jamani ana mijihera kushindwa ni issue anaweza mpa hngo mtu ata ya billioni
 
hahahahaha Unaweza kuwa na mijihela lakini Watz wanakubit down tu
 
Rostam ndiye mwizi mkubwa na amefanya mambo mengi kuwaghiribu wana igunga. lazima atashinda japo maisha yake kisiasa yataanza kuwa mashakani mara moja.:A S angry:
 
mwaka huu hela haina nguvu wananchi wamejifunza kuchakachua hela za vigogo mafisadi.
 
habari kutoka Moshi ni kwamba fisadi Mramba amekimbizwa hospitali KCMC presha inapanda presha inashuka nahii ni dalili mbaya sana inaelekea safari ya Segerea/Keko inakaribia
 
WE NEED CHANGES! NANAFURAHI SANA MATOKEO ILI WAKACHAKACHUANE MJENGONI NA SISI TUFAHAMU FEDHA ZINAPOKWENDA.:smile-big:
 
Kama Igunga wamtema Rostam basi na JK aanze kufunga virago kwa sababu huyu ni mtu ambaye ana taswira yote ya JK..................
 
lakini hata kama ni hela za nini?wametuibia sisi,hivi kweli unaweza kukubali hongo ya kukwamisha maendeleo yako?jamani tufikirie walau kidogo
 
Back
Top Bottom