Tetesi: ROSTAM AZIZI karibu Yanga afrika

madindigwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
2,488
Reaction score
2,904
Hongeren sana wanachama wenzangu wa dar Yanga afrika kwa kumaliza uchaguzi salama na naunga mkono uteuzi wa mwenyekiti na makamu mwenyekiti,

Yanga sasa ni imara kama chuma sasa ni wakati wa watu kama rostam azizi kuwekeza Yanga tunakukaribisa kwa moyo mkunjufu
Na wengineo pia wenye nia njema na Yanga tunawakaribisha. Daima mbele nyuma mwiko nawasilisha.
 
We hujui mtu kawekwa hapo ila mwenye nafasi anachekelea ...
 
Bakuli nyuma Yanga mbele
Hongeren sana wanachama wenzangu wa dar Yanga afrika kwa kumaliza uchaguzi salama na naunga mkono uteuzi wa mwenyekiti na makamu mwenyekiti,

Yanga sasa ni imara kama chuma sasa ni wakati wa watu kama rostam azizi kuwekeza Yanga tunakukaribisa kwa moyo mkunjufu
Na wengineo pia wenye nia njema na Yanga tunawakaribisha. Daima mbele nyuma mwiko nawasilisha.
 
Hongeren sana wanachama wenzangu wa dar Yanga afrika kwa kumaliza uchaguzi salama na naunga mkono uteuzi wa mwenyekiti na makamu mwenyekiti,

Yanga sasa ni imara kama chuma sasa ni wakati wa watu kama rostam azizi kuwekeza Yanga tunakukaribisa kwa moyo mkunjufu
Na wengineo pia wenye nia njema na Yanga tunawakaribisha. Daima mbele nyuma mwiko nawasilisha.
Wanatafuta hela zao? mliwaita mafisadi sasa mnataka hela zao haji ng'oooo endeleeni na Bakuli
 
Si nimesikia Mguli Mvhemba ameahidi kumleta Dangote!
 
Wameshaanza kufeli kama ndio wameanza kufikiria watu furani waje na mipesa yao ndio Yanga ipate maendeleo

Kama kweli wanajua wana takiwa waweke mfumo wa kampuni ili ziuzwe share
 
Hongeren sana wanachama wenzangu wa dar Yanga afrika kwa kumaliza uchaguzi salama na naunga mkono uteuzi wa mwenyekiti na makamu mwenyekiti,

Yanga sasa ni imara kama chuma sasa ni wakati wa watu kama rostam azizi kuwekeza Yanga tunakukaribisa kwa moyo mkunjufu
Na wengineo pia wenye nia njema na Yanga tunawakaribisha. Daima mbele nyuma mwiko nawasilisha.
Mkaribisheni na Rafiki yake Lowassa.
 
Mijitu ya yanga sjui akili zanu mmeziweka wapi

Ova
 
Back
Top Bottom