madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,488
- 2,904
Hongeren sana wanachama wenzangu wa dar Yanga afrika kwa kumaliza uchaguzi salama na naunga mkono uteuzi wa mwenyekiti na makamu mwenyekiti,
Yanga sasa ni imara kama chuma sasa ni wakati wa watu kama rostam azizi kuwekeza Yanga tunakukaribisa kwa moyo mkunjufu
Na wengineo pia wenye nia njema na Yanga tunawakaribisha. Daima mbele nyuma mwiko nawasilisha.
Wanatafuta hela zao? mliwaita mafisadi sasa mnataka hela zao haji ng'oooo endeleeni na BakuliHongeren sana wanachama wenzangu wa dar Yanga afrika kwa kumaliza uchaguzi salama na naunga mkono uteuzi wa mwenyekiti na makamu mwenyekiti,
Yanga sasa ni imara kama chuma sasa ni wakati wa watu kama rostam azizi kuwekeza Yanga tunakukaribisa kwa moyo mkunjufu
Na wengineo pia wenye nia njema na Yanga tunawakaribisha. Daima mbele nyuma mwiko nawasilisha.
We tulia tu mtakaaa sawaWanatafuta hela zao? mliwaita mafisadi sasa mnataka hela zao haji ng'oooo endeleeni na Bakuli
Mkaribisheni na Rafiki yake Lowassa.Hongeren sana wanachama wenzangu wa dar Yanga afrika kwa kumaliza uchaguzi salama na naunga mkono uteuzi wa mwenyekiti na makamu mwenyekiti,