Rostam Azizi na uwekezaji wa Taifa gesi

Rostam Azizi na uwekezaji wa Taifa gesi

Filimbizangu

Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
9
Reaction score
5
Tanzania ni nchi ambayo kimsingi haijielewi imejikita katika uchumi upi kwani pamoja na kuwa UTI wa mgongo wa asilimia 90 ya watanzania wote ni kilimo Bado hakija pewa kipaumbele.

Taasisi ya Nishati imejiweka kando huku tukiwa na zaidi ya miaka 60 ya uhuru lakini source kuwa ya Nishati ni maji. Inashangaza sana lakin ndo uchumi wetu. ROSTAM Aziz amejimegea nafasi yake katika UWEKEZAJI WA Gesi huku akitamba na Gesi ya Taifa GESI, si jambo dogo lakini pamoja na haya Bado upatikanaji wa Gesi Bado upo juu.

Taifa GESI imekuwa kampuni ambayo inafunga meli yake binafsi. Huku ikijinasibu kuwa ndiyo kampuni inayo kuja kwa kasi Tanzania katika nyanja ya Nishati mbadala. UWEKEZAJI huu pengine unaweza ukafanya sekta ya Nishati kuja kubadilika siku za usoni.

INASIKITISHA SANA MIAKA 60 BADO MAJI NDO CHANZO KIKUU CHA UMEME

IMG_20221027_055223_114.jpg
 
Back
Top Bottom