Kandambilimbili
R I P
- Nov 11, 2008
- 782
- 40
du ! hii inawafaa sana wajapani na china kwani Vyura wanapatikana kwa wingi sana hapo........😕
Tupatie picha ya hiyo nyumba na specifications zake. Itakuwa ya urithi au????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Du Mwananyamala!!! Kiwanja ni low, medium au ni high density????? Kwi kwi kwi kwi!!!! Weka picha kama ile picha ya nyumba ya Manji upanga!!!!!! Ya Manji inatisha, sijui hii ya mwekezaji mwenzake imekaaje.
Kama huna cha kusema vemaukae kimya; tatizo mikono inawasha lakini ni kujishushia hadhi maana watu hapa wanaona kuna tatizo la IQ may be; why ujiweke ktk kundi la watu ambao you are here to make bla bla? SICKNESS
Jamani JF ius for serious people kama umetumwa kuja kupoteza muda.....sio hapa.period.
I think .........is not fit to be a member of great thinkers.
Jamani JF ius for serious people kama umetumwa kuja kupoteza muda.....sio hapa.period.
hii post mwenyewe kaitundika kwenye thread ya jokes/utani kwa hiyo sioni kama anakosa lolote kwa vile ina sifa ya kuwa joke/utani.
otherwise wanaosema kuwa jf ni kwa great thinkers,then wanashindwa kuelewa kuwa ukiwa great thinker katika thread ya joke/utani then you still qualify to be a great thinker.
Tupo ukurasa mmoja.sasa naanza kuogopa huenda hili ni anguko la JF
Thank you, addition TO BE A GREAT THINKER YOU NEED ANALYTICAL SKILLS. sio tu unafikiria fikiria mpaka unashindwa au kupitwa na vitu muhimu and simple kama ukitaka kusoma posting yoyote ni vyema uangalie na forums, any way tuendelee tutawajua GREAT THINKERS NI KINA NANI.
sasa naanza kuogopa huenda hili ni anguko la JF
Tupo ukurasa mmoja.