Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 239
Rostam kukutana na waandishi wa habari
"Kuna habari kwamba kesho (Jumapili) saa 5 mchana Rostam Aziz atakuwa na mkutano na waandishi wa habari katika hoteli ya Kempinski."
Rostam kukutana na waandishi wa habari
Kuna habari kwamba kesho (Jumapili) saa 5 mchana Rostam Aziz atakuwa na mkutano na waandishi wa habari katika hoteli ya Kempinski.
Nionavyo mimi ndicho kitakachotokea...tusubili hiyo saa 5 ya J2'...Oké! Labda anataka kutuhabarisha 'mabaya' ya Mengi!
Akialika waandishi, ataalika wote bila ubaguzi tatizo la press com za RA, huja na karatasi, litahusu kumburuza Mangi kwa pilato, atalisoma, its over, no maswali, no ufafanuzi, baada ya hapo ni waandishi kukirimiwa lunch ya kempi, followed by fat browm envelopes its all over.
***************************"Kadhalika aulizwe na autueleze, bila kutafuna maneno, kwa nini imekuwa kawaida yake kuandikisha makampuni yake bila ya kuwamo jina lake popote pale katika nyaraka husika na badala yake hutumia majina ya watu wengine ambao ni feki.
Atueleze maana yake nini hasa kufanya hivyo kama siyo namna ya kufanya utapeli, kama vile kukwepa kodi, kukwepa mashitaka n.k. Atupe mwanga kwa hilo."
Issue zinaanza kubumbuluka.....kwa mfano mmoja wa wenyeviti niliyeongea nae kaniambia walilipwa shs laki 3 kila mmoja na wamelipiwa ticket na gharama za kuishi Dar na wakapelekwa Maelezo kusoma waraka ambao hawajui nani aliyeuandiaka.