Rostam kutoa Bilioni 1 kwa ajili ya vitakasa mikono

Rostam kutoa Bilioni 1 kwa ajili ya vitakasa mikono

Applicant

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2020
Posts
1,962
Reaction score
1,751
Mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Azizi ameahidi kutoa Sh1 bilioni kwaajili ya vitakasa mikono kwa daladala za Jiji la Dar es Salaam na Unguja katika kuunga juhudi za Serikali kukabiliana na virusi vya corona.

Rostam alitoa ahadi hiyo mbele ya Waziri Mkuu, Majaliwa Khasim Majaliwa.

Wa mikoani ajitolee mwingine.

nipashetz_20200408_3.jpeg
nipashetz_20200408_2.jpeg
nipashetz_20200408_4.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM na mafisadi ni kama mtu na binamu yake
 
Hawa mabilionea wa tz mnaweza kufa kwanza ndio Wanaleta msaada wakati Jack Ma kitambo sana kasambaza dunia nzima.......
 
Kwa namna rostam alivofisidi nchi ilitakiwa atoe hata bilioni 100
 
Mmmh... watu wana hela.
Ndiyo maana alijiuzuru ubunge, sasa bilioni moja, si pension ya wabunge kadhaa...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
okey nilijua Roma na Stamina.

Hizo pesa zisimamiwe na zifatiliwe kwa makini kwasababu CCM ni wezi waliokubuhu.
 
TBC wamempa air time ya kutosha ndugu Rostam Aziz, the king maker, master mind,kulihutubia taifa baada ya yeye na wenzake kutoa mabilioni kupambana na corona.

Tutafute pesa tu,mengine tutaongezewa
 
Back
Top Bottom