TBC wamempa air time ya kutosha ndugu Rostam Aziz, the king maker, master mind,kulihutubia taifa baada ya yeye na wenzake kutoa mabilioni kupambana na corona.
Tutafute pesa tu,mengine tutaongezewa
Nasikia analudi tena bungeni.CCM na mafisadi ni kama mtu na binamu yake
Huyu kawashika pabaya wala sitashangaaNasikia analudi tena bungeni.