Rostam MUST Resign; CCM Must Act

jamani mwacheni La'Azizi wetu, anatusomeshea watoto wetu South Africa na nchi nyingine za nje, ili vijana wetu waweze kushindana na wathungu.
 
sasa wata resign wangapi?

secondly mbona kuna kashfa kubwa nyingi kuliko hii na hakuna aliyeshurutishwa kujiuzulu?


Whatever that means? Typical ignorance!

I am disgustingly ashamed to read your comment above.... Typical Tanzanian(swahilinite) stuff.

When people don't know something, ignorance takes common stage.
Many people supporting these fraudulent politicians are jobless and have no hopes for the future. Are you pining your hopes on politicians who have bad records of embezzlement of public funds? Could you imagine if these politicians could spend more time fixing the country's problems rather than the huge time and resources wasted on defending themselves in the courts.

Ofcourse,Tanzania has to rid itself from corruption to develop and attract foreign investments. Right now, the West and foreign investors are keeping an eye on the 2015 election and also on the PCCB war on corruption championed by KIKWETE and HOSEAH. The stability of Tanzania is of great importance to the West as political conflicts in Tanzania may destabilize the entire Africa especially fragile East Africa. Corruption is certainly the root causes of most conflicts in Africa as rogue politicians try to take control of the abundant natural resources.

In the West, politicians spend the available resources on development projects that benefits the community such as schools, hospitals, medicines, technology, housing etc and in Tanzania, the wealthy politicians stack the money in foreign banks for their families and unborn generations. Rather than serve the people, they serve their pockets and families, driving flashy cars and living in posh houses in the midst of filth, poverty and rundown communities.

Kikwete,Rostam,Lowassa,Chenge cannot justify making billions at common legal business. In Europe, a Govt official in the same position would be living in a 3 bedroom apartment and cannot afford a car. Chenge, I understand has accounts in New Jersey(according to media reports). If I may ask, how many properties does David Cameroon,Calvin Rud,Nicholaus Sarkozy,Wen Jiabao,Mamonhan Singh,Jacob Zuma,Lula Da Silva or Barack Obama have abroad, ???

Look, guys, the ball is in your court. Vote the man that has a good track record and not the ones that display richness or files suits in court to intimidate the masses.Also,build a culture of Civil Disobedience and oppose all forms of oppresion!

Enough is enough!!!
 
Salute Mwanakijiji! what a good article BUT the question remains- will he (RA) going to have a walk of shame!? may be NO! angalia Signature yangu hapo chini inajibu kila kitu!!
 
CCM na serikali yake kwani nao wana masikio? Kwani nao wana macho ya kuona? Au kwani wana hisia ya nini kinaendelea? Hosni Mubaraka, kama leo angeliweza kurudisha wakati nyuma, am sure angejitahidi kufanya tofauti...lakini wakati madaraka yenye nguvu kubwa yako mikononi ni rahisi kudharau hata mambo ambayo binadamu mwenye pumzi hatakiwi kuyadharau.

What I know is this... I love my country and if there is a wish to make for this country then it would be to see we approach things different as a whole. Tusiende hivi tunavyokwenda hatutafika...historia ina mafundisho tele juu ya hatari ya kufanya haya tunayoyaona yanafanyika.
 
huyu jamaa hawezi kujihuzuru hat siku moja maana anajua atajulikana kuwa kweli alihusika, wanatumia mabavu yao kushikilia vyeo wakidhani wananchi tuna wafurahia, waaache tu siku zao sio mbali sana, Misiri siku 11 zilizopita haikuwa hivyo , Tunisia haikuwa hivyo, Yemeni inabadilika na Jordani PM wake alishajiondoa mwenyewe baada ya maandamano kumzidia, hivyo basi hawa jamaa kukiwasubiria wajihuzuru wenyewe ni kazi bure kwa haitakuja tokea, Dawa yao ni PEOPLES POWER kwa maandamano tu
 
Our Dear Rostam, Praised be your name and money, Give us our daily monies from your bounty, forgive us for mentioning your name tirelessly (because we want to deceive the fools) for yours is glory, wealth, wisdom over us and our resources, till the end of CCM, amen.
 
Mzee Mwanakijiji,

Doing the same thing over and over again expecting different results si dalili nzuri when it comes to the state of mind.

Najua ccm ndiyo chama tawala,na pia upinzani ulishindwa.Lakini hii si sababu ya kurudia rudia yale yale ya kuwaomba ccm wabadilike,wafanye ili ama wafanye lile.Hilo haliwezekani.Na hao ccm youth wing ndiyo kina nani?Since umemtaja RA,kwanini usiwataje na hao youths ili tuone influence yao ndani ya chama?

Kwenye ccm kuna individualism ambayo ina constitute maamuzi ama msimamo wa chama...Kwa maana kwamba kuna individuals wachache ambao wana nguvu kuliko chama kwa ujumla,na chama hakiwezi kuleta mabadiliko bila kuwa consult hao individuals.Sasa untaka hao youths wamwambie RA ajiuzulu?Watumie utaratibu gani?

Kama ccm ilishinda uchaguzi,then hawana cha kwambia kwasababu atasema if i was doing anything wrong within the party then why they won the general elections?Na si hivyo tu,hata wana Igunga nao hawaona tatizo.

RA hawezi kuondolewa kwa maneno,kuwaondoa mafisadi kunahitaji nguvu ya umma ambayo naona bado imebakia kwenye makaratasi na matamko peke yake.Watu wenye vipaji na uzalendo ndo wamebakia kuwa wazee wa ewala bwana!?

Mafisadi waondolewa by anymeans neccesary na si waombwe kujiuzulu.The scandals from the party seems to have benefited the party...Watanzania wameprove hilo kwa kuichagua ccm kwa mara nyingine tena.Na kama wanaamini kuwa uchaguzi ulichakachuliwa,then wasubiri uchaguzi ujao ama wafanye wanayofanya Egypt and Tunisia before that.

My two cents.
 
Siasa zetu nyan'anyi, zinatupora uwezo,
Watawala sio sisi, wamefanywa pandikizo,
Wamejipa na ubwanyenyi, na kuviweka vikwazo,

Mwawaachia unyonyi, wapita mfululizo,
Na wala hatuwakanyi, wanaona kama mchezo,

Eti hawatudanganyi, wakati nyie igizo,
Na wala hamuwasunyi, mnawapa madekezo,
Ugonjwa hamuuponyi, mnaongeza mizozo,

Wananchi ndio mamwinyi, wengineo mikwaruzo,
Ukubwa hawakusanyi, ila kama ni tangaZO,
Na kitu hawakifanyi, kuondoa matatizo,
Siasa zetu nyang'anyi, zinatupora imani !

 

Mkuu MM nakuunga mkono kwa makala uliyotoa kuhusu RA.Ila kwa hali iliyopo sio Rostam Aziz au CCM itakayomwajibisha.Hili sasa ni suala la wananchi wa Tanzania kujua kwa undani nani kawafikisha hapa halafu waamue wenyewe kumuwajibisha.Kwa jinsi ninavyoifahamu Tanzania ya sasa taarifa hizi zikisambaaa kwa upana wake,haitachukua hata mwezi kwa moto wa maandamano ya kitaifa kuwaka.

Sasa hali iko tense kweli kweli na wakuu wenyewe serikalini wanajua hilo.Huu ndio wakati muafaka wa kuleta mabadiliko yanayokusudiwa kwa kuratibu na kuihusisha nguvu ya umma.Kwa hali ya kiuchumi ilivyo Tanzania sasa,na kwa kuzingatia mfumo wa kifisadi ulivyojengeka katika ngazi zote kuanzia Ikulu mpaka kwa katibu kata,ni nguvu ya umma pekee ndio inaweza kuuvunja huu mfumo na kuleta mabadiliko yanayotegemewa.

Nguvu hii ni muhimu iratibiwe ili kuleta matokeo yatakiwayo.Vinginevyo watu wataandamana siku 2 tuu basi wakifikiri kwa kufanya hivyo watapata wanachotarajia.Kazi kubwa bado iko ya kuuelimisha umma wa watanzania kabla ya kuuhimiza kuleta mabadiliko.Mazingira ya sasa yanatoa fursa nzuri sana ya kuweza kuwang'oa Rostam Aziz,marafiki zake na mizizi yake yote.
 

Rostam ni AGENT ila kuna PRINCIPALS nyuma yake. Badala ya kupoteza muda kumpigia kelele AGENT ni vyema tukafanya kazi ya kupambana na PRINCIPALS wake ambao kwa bahati mbaya ni wenzetu kabisaaaa waliopo serikalini.
 
Sawa Sawa na wanaomsaidia tuwaaadabishe. Tuanze kwa kuwasomesha watu wa Igunga wamuondoe, infact Maandamano yaanzie Igunga, then Mkoa wa Tabora, then Dodoma, then Kada ya Ziwa, Then Mbeya, Then Iringa, Then Mtwara The Arusha then ...........................
 
Mzee Mwanakijiji.
Hakuna asiyejua kuwa Jumba Kuu (JK) is behind this guy. The whole system is currupted, kilichobaki ni bomu kulipuka na wala muda si mrefu tutaona haya yanapita. Hapa juzi tumesoma kwenye magazeti kuhusu aliyekuwa mfanyakazi wa TANESCO aliyeibia kampuni yake. Pesa aliyoiba ni nyingi sana lakini huwezi kulinganisha na hawa jamaa walizokwapua. Lakini utaona spidi ya kumshughulikia huyo jamaa wa Tanesco ilivyo tofauti na ilayo-apply kwa FISADIZ.
Hakuna kiongozi mmojawapo wa dola Tanzania ambaye amekuwa na balls za kum-deal RA, JK na kundi lake. Kwa sababu CCM inaendesha dola, kinafaidi matunda ya uchafu unaofanya na hawa jamaa, that means hakuna ambaye atadiriki kuwabana.

Ndugu yetu Pinda amebaki kuwa na jina tu la "mtoto wa mkulima" lakini hana chochote cha kufanya dhidi ya hawa fisadiz. Huu ndiyo ulikuwa muda mzuri wa kuonyesha rangi zake, angemkomalia JK kwa kila kitu ambacho hakina maslahi kwa wananchi. Sidhani kama JK angekuwa na balls za kumfukuza kazi, ange-cave in bila kupenda. Lakini Pinda mimi sielewi ana tatizo gani, kuitwa mtoto wa mkulima doesn't mean anything kama hutetei wananchi wako. Kiongozi yeyote anayejua ulipo uozo halafu hasifanye lolote, huyo hafai kuwa kiongozi. Pinda, I'm sorry but you need to stand up and be counted.

Mwanakijiji, the buck starts with JK........Mwenyekiti (T) wa CCM na Rais wa JMT anashiriki kufanya madudu, unategemea waliobaki watafanya nini? Wana CCM wanatakiwa kusimama na kusafisha chama chao wakianzia kwa mwenyekiti wao. Historia itawapita kama ambavyo utawala wa Misri unavyoanza kutoa concession baada ya kuona mambo yanaharibika.
Harufu mbaya ya machafuko inanukia iwapo JK and CCM won't get shit right. Hatutaki haya yatokee but wakishindwa kufanya yaliyo sahihi basi tutawalazimisha.
This shall too pass.
 
Mbona nyie mmekua kama wana CCM. Tuachieni chama chetu CCM. Kipenda roho hula nyama mbichi. Sisi Rostam wetu tunamhitaji, kwanza ni mbunge mashuhuri, anapendwa na watu wake. na anashinda kwa kishindo. Shida yenu nini. Ahaaa, nimegundua mnataka aingie CDM, haji ng'oooo, kabisa
 
Kuna uhalisia mwanakijiji lakini kazi bado ipo atwambie baada ya hapo pesa zetu za kagoda ziko wapi na kwa nini alichukua na kwa nini bashe kaanda watu nani alijua hadi kuandaa mabango yao kua anapendwa eti wanlia je wanamlilia nani
 
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Dua la kuku limempata mwewe. Na bado CCM Watakoma ubishi wanafikiri Watanzania bado tumelala. Nilisema katika thread flani hivi kwamba muda tunao na taratibu mwewe wanaanza kukimbia. Bravo Mwanakijiji.
 
MM Mwana Kijiji, Ndio Leo naisoma hii!. Nimebaki mdomo wazi!. Hii ni pre-amonition ya hali ya juu. This is a proof MM, you posses PSI Powers on information. You can move mountains!. Thanks for this.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…