Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,126
nasikia hawa ni baadhi ya wafanyakazi wake badra masudi,idrisa rashid,salva rweyemamu,ngeleja,malima,january makamba,dada yake,kama kuna mwenye kujua wengine aendeleze.
Kikwete, aliyewaajiri wengine wooote, kwa hiyo huna haja ya kuhangaika, kila umjuae serikalini na taasisi zake ni wafanyakazi wake. Jee, wewe sio wafanya kazi wako?
Ni mburushi, anayejituma kwa kujitafutia maisha Mungu amempa uwezo wa kubuni njia za kupata pesa kwa biashara za ndani na kimataifa. Ni mtanzania mwenzetu ambao wä2 wenye wivu wamekuwa wakimchonga sana ili wao hawana hata uwezo wa kuchangia pato la taifa na kuongeza ajira. Tuige mfano kwake.
Mfano gani wakuwaibia watanzania?
Ni mburushi, anayejituma kwa kujitafutia maisha Mungu amempa uwezo wa kubuni njia za kupata pesa kwa biashara za ndani na kimataifa. Ni mtanzania mwenzetu ambao wä2 wenye wivu wamekuwa wakimchonga sana ili wao hawana hata uwezo wa kuchangia pato la taifa na kuongeza ajira. Tuige mfano kwake.
huwa wanasema Mu-ajemi, sijui kama ni kitu hichohicho.Ni muiran