Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Msikilize acha u-K
Naam, amezitaja MkuuJe, amezitaja hizo kampuni kwa majina? Pili, hizo kampuni za Uingereza na Australia ni za wazungu au wabongo? Maana kuna wabongo wanasajili makampuni huko nje kisha zinakuja kutubamiza hapa nyumbani.
Anaitwa rostam abdulrasul aziz,ana bachelor degree in economics,exeter university,anaongea kiswahili kizuri,ni mtu anayeifafamu nchi yake vyema.Katika mahojiano maridhawa ya Mwanahabari nguli Tido Muhando wa TBC na Mfanyabiashara "guru" Rostam Abdulaziz pamoja na kuongea mengi juu ya biashara na siasa, Watanzania tumeshauriwa kutokuuona Umasikini kama jambo la fahari au la kawaida.
Watanzania wengi imesemekana tunauona Umasikini kama hali ya kawaida kabisa na mtu akifanikiwa kutoka kwenye lindi la Umasikini tunatamani kumvuta arudi nyuma tena.
Kuhusu makaa ya mawe: Mfanyabiashara guru amedai kuwa hisa alizonunua hakuuziwa na Serikali ila alizinunua kutoka kwenye kampuni ya nje ya Australia tena kwa kuzingatia hesabu za soko la hisa za Australia. Katika eneo hili aliongezea kusema kuwa kuna migodi zaidi ya 16 inayomilikiwa na kampuni mbalimbali na yeye bado hajaanza kuvuna makaa hayo katika eneo lake, anakamilisha baadhi ya vitu
Kuhusu Mwadui: Mfanya biashara huyu alisema kuwa hisa alizozinunua zimezingatia ithibati ya soko la hisa la "London" Uingereza London Stock Exchange (LSE) kwa sababu alizinunua kutoka kwenye kampuni ya Uingereza.
Tuje hapa, ule uvumi kuwa Serikali ndiyo iliyomuuzia kwa bei chee kwa maelezo ya Guru hyo wa biashara ni dhahiri unakwenda kukosa mizizi thabiti na kubaki kama aina nyingine ya vumi za kurudishana nyuma.
Na nyinyi kwanini mtu anawaibia halafu hamumchukulii hatua yoyote ?Kama umasikini sio jambo la kujivunia kwanini anawaibia Watanganyika na kuwatia umasikini?
Yaani anatuibia halafu anatucheka kwamba kwanini tumekuwa masikini?
Rostam tunataka migodi yetu na mali zetu, tutakutimua urudi kwenyu huko uturuki sijui utuachie Tanganyika yetu!
Kwanini hutaki kwenda kwenu? unang'ang'ania Tanzania ni yako? ni kwenu?
Rudi kwenu, hatukutakii. Ondokaaa!
Asante nitarekebisha jinaAnaitwa rostam abdulrasul aziz,ana bachelor degree in economics,exeter university,anaongea kiswahili kizuri,ni mtu anayeifafamu nchi yake vyema.
Naunga mkono hojaKama umasikini sio jambo la kujivunia kwanini anawaibia Watanganyika na kuwatia umasikini?
Yaani anatuibia halafu anatucheka kwamba kwanini tumekuwa masikini?
Rostam tunataka migodi yetu na mali zetu, tutakutimua urudi kwenyu huko uturuki sijui utuachie Tanganyika yetu!
Kwanini hutaki kwenda kwenu? unang'ang'ania Tanzania ni yako? ni kwenu?
Rudi kwenu, hatukutakii. Ondokaaa!
Ajiandae.Na nyinyi kwanini mtu anawaibia halafu hamumchukulii hatua yoyote ?
Usijali bro,mimi nimecheza nae utotoni ananizidi mwaka mmoja kwa umriAsante nitarekebisha jina
Tayari nimeshahariri kama ulivyonielekeza Mkubwa,Usijali bro,mimi nimecheza nae utotoni ananizidi mwaka mmoja kwa umri
You are not seriousAjiandae.
takatakaKatika mahojiano maridhawa ya Mwanahabari nguli Tido Muhando wa TBC na Mfanyabiashara "guru" Rostam Abdulrasul Aziz pamoja na kuongea mengi juu ya biashara na siasa, Watanzania tumeshauriwa kutokuuona Umasikini kama jambo la fahari au la kawaida.
Watanzania wengi imesemekana tunauona Umasikini kama hali ya kawaida kabisa na mtu akifanikiwa kutoka kwenye lindi la Umasikini tunatamani kumvuta arudi nyuma tena.
Kuhusu makaa ya mawe: Mfanyabiashara guru amedai kuwa hisa alizonunua hakuuziwa na Serikali ila alizinunua kutoka kwenye kampuni ya nje ya Australia tena kwa kuzingatia hesabu za soko la hisa za Australia. Katika eneo hili aliongezea kusema kuwa kuna migodi zaidi ya 16 inayomilikiwa na kampuni mbalimbali na yeye bado hajaanza kuvuna makaa hayo katika eneo lake, anakamilisha baadhi ya vitu
Kuhusu Mwadui: Mfanya biashara huyu alisema kuwa hisa alizozinunua zimezingatia ithibati ya soko la hisa la "London" Uingereza London Stock Exchange (LSE) kwa sababu alizinunua kutoka kwenye kampuni ya Uingereza.
Tuje hapa, ule uvumi kuwa Serikali ndiyo iliyomuuzia kwa bei chee kwa maelezo ya Guru hyo wa biashara ni dhahiri unakwenda kukosa mizizi thabiti na kubaki kama aina nyingine ya vumi za kurudishana nyuma.
unafanikiwa kwa kuwaibia wenzako , kliibia taifa rasilimali zakeakifanikiwa kutoka kwenye lindi la Umasikini tunatamani kumvuta arudi nyuma tena.
Sawa sawaNa nyinyi kwanini mtu anawaibia halafu hamumchukulii hatua yoyote ?
Hata dhahabu hupatikana katikati ya unazoziita takatakatakataka
Kama zipo justification za wizi hilo ni suala jingine ila kama ni maneno tu, haisaidii.unafanikiwa kwa kuwaibia wenzako , kliibia taifa rasilimali zake