Bwana Charles Njonjo kaaga dunia jana. Hapa ni maoni makali kabisa kumhusu:
Miguna Miguna: The Charles Njonjo I know
Enyi mlioko madarakani mnaojinasibu kuwekwa huko na Mola huku ghiliba zenu zikijulikana, hamna cha kujifunza kabla ya siku zenu?
Kwamba mwendazake hasemwi? Kwamba nyie mmewekwa na Mola?
Nani kasema?
Kwani miparurano hii ya nini?
Nchi si mali yenu binafsi. Heshimuni haki na matakwa halali ya watu.
Tendeni haki mwende zenu.
Safari kuelekea peponi au motoni huanzia hapa hapa.