Kuna message nimetumiwa muda si mrefu,nimeona nilete hapa JF Doctor angalau mwenye kujua zaidi atupatie somo!!
SMS
Kuna ugonjwa wa tumbo umeingia kwa watoto age between 1 to 5yrs and even to 10 yrs na hospital zote hapa hawaujui.
Watoto wawili wa kike waliokua wanasoma na mwanangu wamekufa,Mmoja kafa wiki mbili zilizopita at the age of 4 na Isabella kafa jana saa 8 mchana at the age of 5.
Finaly nimefanikiwa kujua ni nini,unaitwa Rotavirus,nenda kwa google usome. Please fwd to all mums and dads.
Mwisho wa SMS
Asante sana kwa habari nimeusoma nime compare na wa kwangu kila akikojoa lazima itoke na haja kubwa hospital wanasema eti mchafuko tu wa tumbo na kuna mida huwa analalamika tumbo linamuuma. Kesho tena nitampeleka hospital basi hospital zetu wazembe kumbe kitu kinafahamika world wide
Pole sana,ila jitahidi kuhakikisha mtoto anapata huduma ipasayo haraka!!
Doctors mpo wapi?please say something!!