Kuna kila dadili za kurudi tena kwa siasa za kamata kamata tulizoziona miaka mitano iliyopita.
Sakata la bandari limewapa Chadema wasaa mzuri wa kukutana na wananchi nchi nzima kupitia operation 255 ambayo imeonesha mafanikio makubwa hata kanda ya ziwa ambapo watu walifikiri chama hicho kikuu cha upinzani kisingepata uungwaji mkono.
Inaonekana sasa hofu ya kisiasa imeanza kurudi kati ya watawala na dadili za kukusekana kwa uvumilivu zimeanza kujitokeza taratibu.
Je tutayaona tena ya 2015-2021?