Round Moja ya fasta haitoshi kama vipi bora kuachana hii kauli imenicost mara kadhaa japo sijaiacha

Round Moja ya fasta haitoshi kama vipi bora kuachana hii kauli imenicost mara kadhaa japo sijaiacha

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Shalom,

Hii kauli imenicost sana kwa baadhi ya mademu. Kuna ile hali unabembeleza demu aje ghetto kisha baada ya Msoto wa kubembeleza demu anakuja.

Kimbembe ni pale amekupa round Moja ya fasta, anaingia bafuni kuoga, huku wewe dudyu ishajaa upepo tena ila anatokea unamdaka ili akupe cha pili demu anakaza ile mbaya anasema anasepa na anasepa kweli. Mademu wa hivyo huwa naachanaga nao mazima.

Baadhi ya mademu hata ghetto hawafikagi akisema anakuja japo anipe kimoja huwa nakataa nawaambia mie sio jogoo kama kimoja basa sitaki.

Acha tuendelee kujipata mwanaume sharti ujitambue.

Ni hayo tu

Wadiz
 
Huenda ratiba zao zinakuwa na majukumu so anakua anawahi, au nawe ni muathiriwa wa wanaotumia dawa za uzazi maana imefahamika huondoa hamu kabisa ya sex. So pale anakuwa hajiskii tena ni kama mgonjwa wa sukari.
 
Back
Top Bottom