Round ya Kwanza Robo Fainali ya CAF Championship

Round ya Kwanza Robo Fainali ya CAF Championship

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
CAF Championship mwaka huu inaonekana kuwa ngumu sana. Mpaka sasa bado mchezo baina ya ES Tunis na ASEC Mimosas bado unaendelea na bado hawajafungana; nitakuja kuhariri post hii baada ya mchezo huo kuisha. Katika timu sita ambazo zimeshamaliza round ya kwanza ya robo fainali ni timu moja tu ndiyo imeshafungwa.
 
Mpaka sasa ni SImba tu ndiyo timu iliyofungwa na kuifanya Al-Aly kuwa timu pekee iliyoshinda mchezo wake wa kwanza. Time nyingine zote zimetoka sare za 0-0. Hii inaashiria nini huko mbeleni?
 
Mpaka sasa ni SImba tu ndiyo timu iliyofungwa na kuifanya Al-Aly kuwa timu pekee iliyoshinda mchezo wake wa kwanza. Time nyingine zote zimetoka sare za 0-0. Hii inaashiria nini huko mbeleni?
Hata Simba alipaswa kutoa draw shida mnyonge sana
 
Naangalia mpira wa Esperance na ASEC Mimosas ni dakika ya 90 mpaka sasa kwenye mechi za kwanza kwa kila timu kwenye haya mashindano limefungwa goli 1
 
Naangalia mpira wa Esperance na ASEC Mimosas ni dakika ya 90 mpaka sasa kwenye mechi za kwanza kwa kila timu kwenye haya mashindano limefungwa goli 1
Timu iliyofungwa ni Simba tu.

Maji yameanza kujitenga na mafuta!
 
Back
Top Bottom