Denis Elias Manyama
Member
- Dec 17, 2016
- 37
- 22
Jamaniii naombeni msaada wa ushauri au hata namna ya kufanya tiba kwa minyoo sugu iliyokaa mda mrefu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haulalingoja wataalamu waje
NalalaHaulali
Hiyo minyoo ina kusumbua vp mkuuJamaniii naombeni msaada wa ushauri au hata namna ya kufanya tiba kwa minyoo sugu iliyokaa mda mrefu.
Hapana mkuu roundworms ni kama vile ascaris,hookworms n.kNi vile tunaita mashilingi?
Imegoma kupona mkuu,nshajaribu dawa za hospitali nyingi sanaa hata na swala la usafi nazingatia sanaaa,Ila ambayo tayari iko tumboni haitaki kuponaHiyo minyoo ina kusumbua vp mkuu
Basi hiy sifahamHapana mkuu roundworms ni kama vile ascaris,hookworms n.k
Tiba ya minyooo sugu, ina mda mrefuuu sanaa nshatumia dawa za hospitali kibao lakini c japata unafuuu, ni ascaris mkuuMtaalamu nimekuja uliza maswali yako
Asante,mkuuZentel au albendazole ndo dawa kwa minyoo ya ascaris na hookworm ....unakula makachumbari sana eeh au unakula kinyesi mkuu cha wenzako .....nenda kapime ndo muhimu
Mkuu ni ascaris.Kapime choo kwanza kujua ni aina gani ya minyoo unayo upate appropriate drugs
Asante,mkuuPamoja na dawa za hospitali tumia pia ukwaju au juisi yake kwa wingi . .