Route ya daladala MwengeMbeziLouis kupitia Madale

Route ya daladala MwengeMbeziLouis kupitia Madale

Mkwala

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
1,164
Reaction score
1,243
Wasalaam!
Katika pilika pilika nimekutana na hii route ya daladala.Yaani unaanzia Mbezi Louis stendi kwenda Mwenge lakini unatakiwa kupitia Madale road ,,Bagamoyo road.Wadau hii route tunaionaje au ni kutafuta mzunguko tuu wa Bure kufika Mbezi Louis au Mwenge.
 
Mbona imekaa kushoto sana. Bora hata wangekatiza Makongo
 
Haijakaa kushoto, inasaidia sana wale wanaoshi kuanzia madale kwenda wazo, yaani wale wanaoishi madale na wanataka kwenda mwenge, wanakaa humo hadi wafike mwenge bila kushuka nyuki. Na huwa national zinajaza sana.
 
Kila mahala watu wapo mzee dar hii zinajaa vedi tu
 
Back
Top Bottom