Wasalaam!
Katika pilika pilika nimekutana na hii route ya daladala.Yaani unaanzia Mbezi Louis stendi kwenda Mwenge lakini unatakiwa kupitia Madale road ,,Bagamoyo road.Wadau hii route tunaionaje au ni kutafuta mzunguko tuu wa Bure kufika Mbezi Louis au Mwenge.
Haijakaa kushoto, inasaidia sana wale wanaoshi kuanzia madale kwenda wazo, yaani wale wanaoishi madale na wanataka kwenda mwenge, wanakaa humo hadi wafike mwenge bila kushuka nyuki. Na huwa national zinajaza sana.